Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa level gani? Unajua economics imegawanyika katika makundi mawili MACRO AND MICRO ECONOMICS Analysis, Ranging from introduction to Economics, to intermediate Economics, Econometrics, which books are you trying to suggest?Huu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalo husu uchumi katika mfumo...
Wewe weka level yoyote ile wewe unaona watu wanapaswa kujifunza.Kwa level gani? Unajua economics imegawanyika katika makundi mawili MACRO AND MICRO ECONOMICS Analysis, Ranging from introduction to Economics...
Ungeanza wewe mleta mada kwa kuleta machapisho/vitabu kadhaaHuu ni uzi maalumu kwa yoyote yule mwenye kitabu, jarida, chapisho n.k linalo husu uchumi katika mfumo wa soft copy anaweza kutupia hapa ili kila mtu ajifunze mambo mbalimbali kuhusu uchumi.
Iwe ni kitaifa au kimataifa hakuna limit ya nchi au eneo lolote.
Nawakaribisha wote.
PoaUngeanza wewe mleta mada kwa kuleta machapisho/vitabu kadhaa
Hebu lete mkuuNikileta cha econometrics wote c mtakimbia humu😊
Shusha vitu acha mbwembweNikileta cha econometrics wote c mtakimbia humu😊
Econometrics ni physics iliyoamua kujificha kwenye mwamvuli wa economics....yale madude ya dummy variables nani anayataka sasa😅😅Nikileta cha econometrics wote c mtakimbia humu😊