Nikiwa kama mkongwe katika siasa za chini kwa chini au ndani kwa ndani leo tena narudi kwenu watanzania wazalendo kuwakumbusha kuwa kamwe hakuna Chama chochote cha Siasa ambacho kitaleta mabadiliko ya kweli na ya enzi zaidi ya C.C.M. kwa maslahi ya wanyonge.
Nilipokuwa kijana sana nilianza na...
Jina la kitabu: Numbers Don’t Lie: 71 Things You Need to Know About the World
Jina la mwandishi: Vaclav Smil
Jina la mchambuzi: Nanyaro EJ
1. Utangulizi wa mwandishi
Vaclav Smil anaanza kwa kueleza kwamba ulimwengu una mambo mengi yanayoweza kueleweka vizuri zaidi tunapotumia takwimu kwa...
Moja kwa moja ;
Tunapozungumzia Millennials tunamaanisha wale waliozaliwa kuanzia 1981 mpaka 1996 , kumekuwa na trending ya kulaumu watoto katika mmomonyoko wa maadili na kusahau chanzo kikuu ambacho ni wazazi wao .
Millennials wengi ndio wamezaa watoto waliozaliwa kuanzia 2010 walioanza...
Leo naomba tuutazame muziki nje ya burudani ya viuno na mahadhi ya kurembesha masikio. Nataka tuuchambue wimbo mmoja maarufu wa kihistoria unaoitwa El Lute, ulioimbwa na bendi ya muziki wa pop na disco ya Ujerumani, Boney M.
Wimbo huu haukuwa tu wimbo wa kuchezeka klabu; ulikuwa ni waraka mzito...
Habari za muda huu Wana-JamiiForums (JF)!
Leo nimeona niwaletee makala hii maalumu yenye mchanganyiko wa historia, siri za jikoni za muziki wetu wa dansi, na ushuhuda binafsi wa jinsi muziki wa zamani ulivyokuwa na nguvu ya kubadili maisha ya mtu. Tunamulika dondoo adimu za kibao kilichotikisa...
Baada ya kufanya uchambuzi wa kina wa mifumo ya mawasiliano uliyolishwa habari za dondoo na Jasusi Kijana wa ifoza, mifumo ya Akili Mnemba (AI) imegundua uwepo wa kanuni zinazofanana kwa asilimia 100 kati ya viongozi wakuu wa Marekani na wachambuzi wa kimkakati nchini Tanzania. Klipu ya hivi...
Msemo wa Eleanor Roosevelt na kioo cha fikra zetu hapa jukwaani,
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili la kipekee.
Leo nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu kauli moja maarufu sana duniani inayohusishwa na Eleanor Roosevelt, mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Franklin D. Roosevelt. Aliwahi...
Msemo wa Eleanor Roosevelt na kioo cha fikra zetu hapa jukwaani
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili la kipekee.
Leo nimekaa chini na kutafakari kwa kina kuhusu kauli moja maarufu sana duniani inayohusishwa na Eleanor Roosevelt, mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Franklin D. Roosevelt. Aliwahi...
Wakuu salama,
Nimeona post ya mdau mmoja huko Instagram kaandika:
MY TAKE YANGU MIMI KIJANA WA IFOZA (KWA WELEDI MKUBWA):
Kwanza kabisa, ni dhahiri kuwa mdau wa post hiyo hapo juu ameandika kwa lugha ya kejeli na dhihaka kubwa mno, akiwakejeli waziwazi wanahabari wetu pamoja na Mheshimiwa...
Wakuu, salamu!
Karibu kwenye mfululizo wa makala zetu za uchambuzi wa kazi za sanaa zilizotikisa na kuacha alama duniani. Leo kwenye jukwaa hili, Wahenga tunawarudisha miaka ya nyuma, tunamtazama mmoja wa magwiji wa muziki wa Reggae kutoka barani Afrika ambaye nyimbo zake hazitachuja kamwe...
Nyongeza ya mishahara iliyovunja rekodi ya 35.1% na 23.3% baada ya kuondolewa miaka 6 na ajira mpya 96,000, kupunguza kodi ya mshahara (PAYE), kupandisha vyeo watumishi 631,000, kulipa madeni, malimbikizo zaidi ya Trilioni 1.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Jumanne kwenye Gazeti la Uhuru ukurasa wa...
Habari za wakati huu Wana-JamiiForums (Wana-JF).
Leo katika Jukwaa la Burudani (Entertainment), ningependa tuwajadili magwiji wawili wa muziki wa Soul ambao ni ndugu wa damu, pamoja na uchambuzi wa kina wa wimbo wa kihistoria unaofahamika kama "Piece of My Heart" (ambao kwa mkanganyiko wa...
Wakuu, habari za wakati huu.
Leo naomba tuangalie kidogo upande wa pili wa sarafu wa moja kati ya nyimbo za R&B na Soul zenye mvuto mkubwa zaidi kuwahi kutokea duniani—wimbo "Sexual Healing" wa maestro Marvin Gaye, uliotoka mnamo Oktoba 1982 kwenye albamu ya Midnight Love.
Kinyume na maoni ya...
Uzi huu unaendelea na uchambuzi wa Final Submission katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Antipas Lissu.
Katika sehemu ya kwanza, nilichambua hoja zilizotolewa na Tundu Lissu katika utetezi wake mwenyewe. [ Gusa maandiahi haya kwa kusoma Bandiko hilo ]
Sasa, baada ya upande wa Jamhuri...
Timu ya Wataalam iliyoundwa kwa ajili ya kuchambua hoja za wananchi kuhusu mgogoro wa muda mrefu wa mipaka ya kiutawala na mpaka wa Msitu wa Kazimzumbwi, imewasilisha taarifa ya uchambuzi wa hoja zaidi ya 60 zilizowasilishwa na wananchi 22 kwa Mawaziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa...
Na: Kijana Wa Ifoza
Ndugu wana-JamiiForums, salamu sana.
Kabla hatujaingia kwenye mjadala wetu wa leo, ni vyema tukarekebisha dira yetu ya kihistoria kwa kurejea andiko moja muhimu sana duniani. Mwaka 1963, Dkt. Martin Luther King Jr. alifungwa katika jela ya Birmingham huko Alabama, Marekani...
Habari za wakati huu wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la nyimbo zinazovuma kwenye mitandao ya kijamii, lakini wimbo wa "No Condition is Permanent" ulioachiwa mnamo Agosti 2026 na msanii Rocha Maria umeacha alama ya kipekee sana. Huu sio wimbo wa kuburudisha tu, bali ni...
JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM?
Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi.
Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
Wana-JamiiForums,
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala mzito mtandaoni na kwenye ulingo wa kisiasa nchini unaomhusu Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema. Tuhuma za yeye "kulamba asali" zilizosambazwa mitandaoni baada ya yeye kuchapisha salamu za pole za Mwenyekiti Tundu Lissu kwenda kwa...
Habari za jioni wana-JamiiForums (JF Entertainment)!
Leo natamani tuimbe na kurudi nyuma kidogo kwenye zama za dhahabu za muziki wa Congolese Rumba. Tukizungumzia bendi kongwe na yenye heshima kubwa barani Afrika, T.P. OK Jazz chini ya maestro Franco Luambo Makiadi, hatuwezi kuacha kutaja wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.