Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea.
Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy
Karibuni.
https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
Matokeo yanayotarajiwa ya maandamano ya CHADEMA yanategemea muktadha wa kisiasa nchini Tanzania na jinsi serikali itakavyoshughulikia hali hiyo. Hapa kuna baadhi ya matokeo yanayoweza kutokea kwa kuzingatia uchambuzi huu usiofungamana na upande wowote:
1. Kushinikiza Serikali: CHADEMA...
UCHAMBUZI WA Comrade Ally Maftah, DAR YOUNG AFRICAN VA COMMERCIAL BANK OF ETHIOPIA SPORT ASSOCIATION (CBE SA)
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
CBE SA ( Comercial Bank of Ethiopia Sport Association ilianzishwa mwaka 1982 pale Adis Abab Ethiopia, ni timu ambayo inashikilia kombe la...
Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam.
Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara.
Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
Tarehe 27.4.2022 @dizastavina (Black Maradona) aliachia yet another lyrical masterpiece inakwenda kwa jina la SHAHIDI. Mdundo umeundwa na Ringle Beatz. Mashairi yameandikwa na Dizasta Vina.
• Ringle Beatz ni mmoja wa watayarishaji bora katika uandaaji wa midundo ya Hip Hop. Alianza...
Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania.
Chanzo: Mitandaoni
Timu ya Simba SC...
Je, inawezekana akaja Rais hapo baadae akamteua Mr Kihenzile akawa Waziri wa Elimu?
Alafu Mwigulu akawekwa pembeni ili Adolfu Mkenda akawa wa fedha?
Ni swali tu
Ndugu zangu Watanzania,
Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
Muhtasari
Kesi za maslahi ya umma ni moja ya silaha ya kupambana na malalamiko kama vile uvunjifu wa haki za Binadamu unaofanywana serikali au taasisi zisizo kuwa za kiserikali. Mashauri hayayamekuwa yakitumika kushinikiza upatikanaji wa haki pamoja na Ulinzi wa haki za watu masikini na nakundi...
Na; Bk
Leo, Jumanne Juni 18.2024 mapema asubuhi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson ameagiza Mbunge wa jimbo la Kisesa Mheshimiwa Luhaga Mpina kufikishwa mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kwa kuwasilisha ushahidi...
Ndugu zangu Watanzania,
Naamini kama Lissu atatumia Akili ndogo sana ya kibinadamu atakuwa amejifunza mambo mengi sana kupitia michango hii ya kununua gari mpya la bei kali na la kifahari pasipo sababu za msingi.
Lissu atakuwa amejifunza kuwa watanzania siyo wajinga na mbumbumbu kama...
Watu wa Afrika ya kusini wanafanya uchaguzi mkuu wao hapo Mei 29, 2024 ukiwa ni uchaguzi mkuu wa 7 wa kidemokrasia tangu kuanguka kwa utawala wa kikandamizaji na kibaguzi wa wazungu wachache mwaka 1994.
Ifuatayo ni makala fupi iliyoandaliwa na mwandishi Nomsa Maseko wa BBCSwahili kuangazia...
Kama wiki mbili hivi sikuwa online kwenye social media hivyo nilipata wasaa wa kusikiliza redio zetu hapa nchini.
Katika wiki zote hizo mbili nilikua natune almost radio zote , ila vipindi vingi vya radio zetu vinafanana na sio elimishi, burudani imechukua sehemu kubwa na hasa uchambuzi wa...
Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
Nimeona maandiko kadhaa yenye kumsifu aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo baada ya mahojiano yake ya video na Daily News Digital kuhusu namna alivyo-play role yake katika dakika za majeruhi za uhai wa Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Pombe Magufuli...
Balozi wa Ujerumani alieko nchini Uingereza bwana Miguel Berger aliitwa katika ofisi za wizara ya mambo ya nje ya Uingereza ili atoe maelezo kuhusu kuvuja kwa rekodi ya mazungumzo ambayo kamanda wa jeshi la anga la Ujerumani alisikika akikiri kuwepo kwa vikosi vya jeshi la Uingereza nchini...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ni (CHADEMA), ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania chenye makao makuu yake jijini Dar es Salaam wilaya ya Kinondoni. Kwa miaka mingi chama hicho kimekuwa kikifanya harakati mbalimbali zenye lengo la kuibua makosa mbalimbali yanayofanywa na chama tawala...
Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani.
Serikali za Afrika hususan eneo la maziwa makuu zimefikia uamuzi wa kutuma majeshi yao Tanzania ikiwemo pamoja na Afrika...
Maswali muhimu kujiuliza na utakayoyatumia kama msingi wa majadiliano katika mada hii:
1. Kikatiba Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na usalama anaweza kukasimu mamlaka yake ya kutoa amri au maelekezo kwa majeshi yetu ya Ulinzi na usalama kwa mtu mwingine ili kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.