uchambuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  2. Sam Gidori

    Uchambuzi: Athari za Tozo za Laini ya Simu kwa ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano nchini

    Wakati kilio cha wananchi kikiongezeka kuhusu tozo mpya za serikali kwenye miamala ya kifedha kupitia simu, Watanzania wanajiandaa kukabiliana na tozo mpya kwenye laini za simu kuanzia mwezi Agosti mwaka huu. Serikali imekusudia kukusanya jumla ya Tsh. bilioni 396.3 kutokana na tozo hizo ndani...
  3. Makirita Amani

    Uchambuzi; Jinsi Ushauri wa 'Fanya Unachopenda' ulivyo hatari kwako

    Rafiki yangu mpendwa, Ushauri maarufu sana inapokuja kwenye swali la kazi au biashara gani mtu afanye umekuwa ni mtu afuate shauku yake. Watu wamekuwa wanashauriwa wafanye kile wanachopenda na mafanikio yatakuwa yao. Ushauri huu umekuwa unafanya wengi waamini kwamba kama bado hawajafanikiwa, ni...
  4. Yericko Nyerere

    AUDIO, Uchambuzi; Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu

    Siku 100 za Rais Mama Samia Suluhu nimeziadhimisha kwakufanya uchambuzi kwa mahojiano ya Radio, Kuhusu Hali ya Kijamii, Kisiasa, Kiuchumi, na kuhusu vuguvugu la Katiba Mpya. Sikiliza mwanzo hadi mwisho!
  5. M

    Uchambuzi: Kante mechi ya Ufaransa vs Ujerumani

    Mzuka wanajamvi! Tahadhari kama hujui kiingereza vizuri kabisa usiendelee chini kusoma. Nimeamua kutumia taaluma yangu kwenye huu Uchambuzi. Omnipresent N'Golo Kante delivers Munich masterclass In 26 days’ time, N’Golo Kante could hold every major honour in the club and inhternational game...
  6. Mshana Jr

    Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muunganiko! MATAGA pia natumai hamjambo! Rejea mada hii: BLINDSPOT: Uchochoro wa kupiga popote Kukamatwa kwa bomba hili kwa bahati nasibu tuu ni mwendelezo wa ufunuo wa udhaifu wa serikali ya awamu ya tano iliyojinasibu kudhibiti wizi, rushwa, upigaji na...
  7. T

    Uchambuzi kitabu cha Mwinyi: Niliepuka kubishana, kumkosoa Nyerere hadharani

    RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Nwinyi, amebainisha kuwa wakati wa uongozi wake, aliepuka kubishana hadharani na mtangulizi wake, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, akiwaonya viongozi wa sasa kujaribu kupata uhalali wa wanayoyafanya kwa kutupia lawama viongozi waliopita. Katika kitabu...
  8. T

    Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
  9. M

    Uchambuzi huru: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya Aprili 22, 2021

    Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen. Nina hakika siku...
  10. S

    ACT–Wazalendo waichambua Ripoti ya CAG - Aprili 11, 2021

    Habari hii ni kwa mujibu wa tweet ya ACT-Wazalendo UDSM ambapo wamearifu uchambuzi huo utaanza saa sita kamili mchana wa leo. =============== ZITTO AMSHAURI RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA MAJAJI KUCHUNGUZA KESI ZILIZOLIPWA KWA DPP Kuanzia mwaka 2017 kumekuwa na kawaida ya watu wanaokamatwa na...
  11. Roving Journalist

    Uchambuzi wa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 2018

    Kwanini tunajali kuhusu marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa? 1: Marekebisho yanampa Msajili mamlaka kubwa isiyo na mipaka. Kimsingi, marekebisho yanayopendekezwa hayatoi fursa ya ushindani huru kwenye jukwaa la kisiasa. Msajili anateuliwa na Rais, ambaye ni mwenyekiA wa chama kimoja cha...
Back
Top Bottom