UCHAMBUZI- HURUMA YA RAIS SAMIA, ILIVYOONDOA MATESO YA WATOTO SHULE SHIKIZI.
Na Bwanku M Bwanku.
Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua uamuzi wa Serikali ya Rais Samia kutoa Bilioni 60 kujenga madarasa 3,000 kwenye Vituo Shikizi 970 na kuwaondolea...
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la...
Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League.
Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17 za soka hakuna mahala popote "advantage play" imeandikwa.
Swali kwako Osman, ni kweli huijui Law 5 -...
Aawali ya yote ninapenda kuwashukuru kwa kubahatika kunusa uzi huu. Ifuatayo ni Tafakuri fupi ya uchambuzi Inayotokana na shairi la Tausi lililo ghaniwa na Mpoto akiwa na Mbosso.
Tausi wewe
Tausi wetu
Karibu Tausi uipambe nyumba yetu
Awali Mshairi ana mkaribisha Tausi, hivyo Tausi ni Mgeni...
UCHAMBUZI: KUNA DIV 1 YA DARASANI Vs DIV 1 YA MTAANI (AKILI HALISI).
Anaandika Robert Heriel.
Matokeo yametoka, nawapongeza waliofaulu vizuri, lakini pia Kwa waliofeli nawapa moyo kuwa wasikate tamaa kwani mtanange bado haujaisha, ndio Kwanza vita ndio imeanza.
Kwa tuliomaliza nyuma kidogo...
Sheria ya NBC Premier League ni kuwa kutatumika wachezaji 8 wa kigeni katika mchezo moja. Ndani ya Simba tunatarajia wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza 11st ni
Inonga,
Onyango,
Kanute,
Bwalya,
Chama
Sakho na
Kagere
Huku wazawa wakiwa ni Manula,
Kapombe,
Tshabalala,
Mkude
Ni wazi...
Abuu Islam
Utangulizi:
Baraza jipya la mawaziri alilolitangaza Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 limeshtua wengi. Vigogo, wakiwemo walioibuka katika awamu ya awamu ya tano, Maprofesa Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi wametupwa, sura mpya, kama Ridhwani Kikwete...
UCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA?
Anaandika, Robert Heriel.
Leo ni Sabato, nitazungumza Kwa uchache Sana nisichoshe watu. Ingawaje napendelea maandiko marefu mno.
Tumesikia kuna Mfungo wa Masaa 72 yakumtoa Amalek katika Nchi, mfungo huo umehusishwa na Gwajima...
Wote walikuwa na viburi wakiwa wasemaji wa Chama. NapeaNnauye alipokuwa Katibu Mwenezi wapinzani wake binafsi na waliokuwa nje ya mstari wa Mwenyekiti, hususani Lowasa walikiona cha moto.
Humphrey Polepole naye aliwasomesha namba wote waliokuwa kinyume na Magufuli
Karibu kwenye uchambuzi wa kitabu kinachoitwa The third door : the wild quest to uncover how the world’s most successful people launched their careers ambacho kimeandikwa na Alex Banayan.
Alex alichagua kuwafuatilia watu waliofanikiwa sana kwenye yale wanayofanya kwa lengo la kujua kule...
Habari zenu wakuu,
Bila kupoteza mda niende kwenye hoja yangu, miaka ya hivi karibuni kumekua na utitiri wa radio nyingi za masafa ya FM, kama tunavyojua dhima kubwa ya vyombo vya habari ni kuelimisha, kuhabarisha na kuburudisha jamii.
Kwa upande wa Redio zetu za Tanzania vipindi vya michezo...
Ushindi haupatikana bila mikakati thabiti, ukiwa kama mpenzi na shabiki wa soka je unafikiri kocha wetu aanze na mfumo upi?
1. Mfumo wa 5-4 -1 Kujilinda na kupeleka mashambulizi ya kushitukiza kupitia kwa Msuva kutumia zile mbio zake.
2. Mfumo wa 3-5-2 Huu ni kujilinda kama hamna mpira, zile...
WATOTO WA MAMA NTILIYE
UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI
WATOTO WA MAMA NTILIYE
KIPENGELE CHA FANI:
1. mwanafunzi atatakiwa kujibu maswali yatayohusiana na kipengele cha fani,
2. rejea vipengele vya fani katika vitabu mbalimbali
MWANDISHI: EMMANUEL MBOGO
WACHAPISHAJI...
UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI
TAKADINI
FANI
MWANDISHI: BEN J. HANSON
WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES
MWAKA: 2004
JINA LA KITABU
Jina la kitabu TAKADINI lina maana ya “Sisi tumefanya nini”. Hili ni jina ambalo Sekai alimpa mwanae mara baada ya kumzaa. Jina hili...
Wanamazengo,
Hivi mmegundua kuwa licha ya Simba SC kupata msemaji wa muda - Bw Ezekiel Kamwaga, nafasi na majukumu mengi anayopaswa na kutakiwa kuyafanya anayafanya CEO wa klabu? Je, tunaweza kukubaliana kuwa ni sawa kwa CEO kuingilia majukumu na wajibu wa nafasi ya mtu mwingine?
Sote tunajua...
Kuna vijiminong'ono!
Kwamba Je, ilikua haki Rais Samia kukubali kusalimiwa na Mamge kimambi aliyewahi kuutukana utawala wa awamu ya TANO?
Jibu ni ndiyo!
Rais alikuwa sahihi kabisa kwasababu zifuatazo;
1. Rais alihudhuria mkutano na kuongea na watanzania waishio Marekani, hivyo kukataa...
Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu Josephat Gwajima wa Kawe. Bunge limetoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili ya Bunge.
Wengi...
Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020.
============
ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS
MAJOR...
Wakuu,
Watanzania wengi kwa sasa hawaelewi kitu gani kinaendelea kuhusiana kesi ya aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai.
Hivi wanasheria wasomi ndani ya nchi hii hamuoni missing gap hapa kwa wananchi wa kawaida?
Sisi Watanzania tunahitaji uchambuzi na ufananuzi zaidi kuhusiana na scenario ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.