Economy Hitman

Economy Hitman

Hakuna white elephant project Tanzania ila kuna white elephant Watawala kama huo msemo upo sijui lkn unajua ninachomaanisha, Magu alianzisha miradi ambayo ni only intelligent people can complete and run, sasa hayupo wanashindwa kila kitu, hata reli ya Dar-Moro inawashinda, Bwawa la Umeme la Nyerere nalo hawawezi wanasingizia hakuna crane, Air Tanzania hiyo Dreamliner hawajui wafanyie nini, Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, hapo utaona kwamba hakuna white elephant project ila kuna white elephant Watawala, …
 
Miradi aliyo alinzisha magu , some dude out there mwenye uzoefu na elimu kidogo angeweza kumaliza. You dont have to be intelligent..
Halaf pia white elephant project zipo ndugu, anzia marais wa nyuma. Project kama hiz zipo hadi kwenye mashirika ya serikali. Different huzisikii everday
 
Eti white elephant; white elephant unaijua wewe? Umekariri maneno tu ambayo hata maana yake hujui? Ni mradi upi alioanzisha hayati Magufuli ambao hauna manufaa kwa wananchi au nchi? Miradi yote ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli ililenga kuiboresha Tanzania, na kuboresha maisha ya wananchi kwa ujumla. Kutokamilishwa kwa miradi baada ya yeye kuondoka hakuifanyi kuwa white elephant.
Amenunua ndege, tunashindwa kuendesha shirika la ndege, then tunamlaumu kwa kutuachia assets?
Kama ulaya na Asia wanajenga reli za kisasa ili wananchi wao wasafiri kwa urahisi, kuna ubaya gani waafrika tukiwa nazo ili tupunguze upotevu wa muda tukiwa safarini?
Mtazamo wako ni finyu sana.
 
JPM alikuwa mshamba na limbukeni. Hakuwa na akili ya kuendesha uchumi.
Hakuwa na akili ya kuendesha jamii.
Hakuwa na akili ya kuendesha siasa
Hakuwa na akili hata ya kuendesha familia yake.

Huyu alikuwa ni laana kwa taifa.

Afe tena huko aliko.
 
Hakuna white elephant project Tanzania ila kuna white elephant Watawala kama huo msemo upo sijui lkn unajua ninachomaanisha, Magu alianzisha miradi ambayo ni only intelligent people can complete and run, sasa hayupo wanashindwa kila kitu, hata reli ya Dar-Moro inawashinda, Bwawa la Umeme la Nyerere nalo hawawezi wanasingizia hakuna crane, Air Tanzania hiyo Dreamliner hawajui wafanyie nini, Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, hapo utaona kwamba hakuna white elephant project ila kuna white elephant Watawala, …
Wakati wa Magu tuliambiwa SGR imefika 80% leo tunaambiwa uko chini ya 50. Je ni sababu ya kukos inteligent people kama unavyosema?
 
Hakuna white elephant project Tanzania ila kuna white elephant Watawala kama huo msemo upo sijui lkn unajua ninachomaanisha, Magu alianzisha miradi ambayo ni only intelligent people can complete and run, sasa hayupo wanashindwa kila kitu, hata reli ya Dar-Moro inawashinda, Bwawa la Umeme la Nyerere nalo hawawezi wanasingizia hakuna crane, Air Tanzania hiyo Dreamliner hawajui wafanyie nini, Meli karibia kila Ziwa kubwa Tanzania, hapo utaona kwamba hakuna white elephant project ila kuna white elephant Watawala, …

Nikikumbuka yale magawio ya kitapeli kipindi cha dhalimu ya mashirika ya umma, sina hamu.
 
Eti white elephant; white elephant unaijua wewe? Umekariri maneno tu ambayo hata maana yake hujui? Ni mradi upi alioanzisha hayati Magufuli ambao hauna manufaa kwa wananchi au nchi? Miradi yote ya kimkakati aliyoanzisha Magufuli ililenga kuiboresha Tanzania, na kuboresha maisha ya wananchi kwa ujumla. Kutokamilishwa kwa miradi baada ya yeye kuondoka hakuifanyi kuwa white elephant.
Amenunua ndege, tunashindwa kuendesha shirika la ndege, then tunamlaumu kwa kutuachia assets?
Kama ulaya na Asia wanajenga reli za kisasa ili wananchi wao wasafiri kwa urahisi, kuna ubaya gani waafrika tukiwa nazo ili tupunguze upotevu wa muda tukiwa safarini?
Mtazamo wako ni finyu sana.

Weka faida ya ndege iliyopatikana yeye akiwa hai.
 
Hamna hata haya kumtaja jiwe kila siku,inaonesha udhaifu wenu,mtu hayupo inaelekea mwaka wa pili jiwe,jiwe,jiwe....
Eiiish hata kama mnataka teuzi sio hivyo,mfateni mumuombe Mama awape nafasi,sababu mnasikitisha tu.
Kama mnajiona mnafaa toeni solution ya shida tulonazo,msaidieni tujenge nchi.
Mambo ya wanawake kusema semana haitusaidii kujenga hii nchi .
Shien.. sana.
No wonder hatuendelei.
Maneno matupu hayavunji mfupa.
Badilikeni na fikra zenu,kudhani kutukana ndio umaarufu,bure kabisa.
 
JPM alikuwa mshamba na limbukeni. Hakuwa na akili ya kuendesha uchumi.
Hakuwa na akili ya kuendesha jamii.
Hakuwa na akili ya kuendesha siasa
Hakuwa na akili hata ya kuendesha familia yake.

Huyu alikuwa ni laana kwa taifa.

Afe tena huko aliko.

[emoji1005] [emoji706]
 
Back
Top Bottom