Haujui kitu mkuu 😁😂Ed Sheeran = Lionel Messi
The Weekend = Ramadhani Singano
Tatizo vijana wanasikiliza singeli hawa
Kabisa kaka hapo ongezea na Sabrina carpenter Hawa washazoea kusikiliza bongo flava na singeliNdo maana ukiwatajia akina Sia, Katy na Taylor wanabaki wanatoa macho [emoji3][emoji3]
Kabisa kaka hapo ongezea na Sabrina carpenter Hawa washazoea kusikiliza bongo flava na singeli
Anajua sana yule mtoto Ngoma yake ya espresso haijatoka bilibodi 100 ipo nafasi ya kwanza badoDah Sabrina huu mwaka wa kwake, Please Please Please ya moto sana [emoji3]
Hadi mimiNina album za the weeknd, sina album ya ed sheran...