Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mtu na nusu. Kwenye Ile nyimbo ya Peru remix kaua mbaya Ile part aliyoimba yeye ndio naipenda zaidiEd Sheeran
Halafu hatumii nguvuHuyu mtu na nusu. Kwenye Ile nyimbo ya Peru remix kaua mbaya Ile part aliyoimba yeye ndio naipenda zaidi
Yaani !!Halafu hatumii nguvu
Best hitSave your tears for another day q
We sikiliza beat tu peke yake bila mziki wake au sikiliza background instrumentalBest hit
Haswaaaa Mlongoo huyu mzungu ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Huyu mtu na nusu. Kwenye Ile nyimbo ya Peru remix kaua mbaya Ile part aliyoimba yeye ndio naipenda zaidi
Wimbo nilisikiliza tu siku moja na kuupenda hapo hapo bonge moja LA hit songSave your tears for another day q
Wanaleta dharau vijana hawa!Daaah Edward Christopher sheeran[emoji119]
ukita muda sikiliza hii list utapata jibu nani ni bora
Perfect
Photograph
Thinking out loud
shape of you
small bump
drunk
the one
eyes closed
a fire love
kiss me
Tenerife sea
bibia beyeye
Supermarket flowers
Barcelona
lego house
sikiliza hizo halafu ukimaliza nitakuongezeea nyingine...the weekend ni msanii mzuri ila sio kwa kumlinganisha na ed sheeran.
Humo kwenye Eye closed kafanya matusi [emoji3]NI UKOSEFU WA ADABU KABISA NA NI MATUSI KUMLINGANISHA Ed sheeran na The weeknd..
Ed huyu huyu ? The weekend anaimba na ni msanii hatari sana lakini Ed sheeran ni moto mwingine, Mashairi yake sio ya mchezo mchezo..
Huyu fundi wa guitar?
Perfect
Shape of you
Photography
Penguin
Visiting hours (achane utani nyie)
Shivers
Afterglow (acheni matusi tena dharua hizi)
2steps
Happier
Bad habits ( kweli nyie..?)
Castle on the hill
Thinking out loud
Collide
I will remember You
N.K N.K
acha kabisaa boat? Eyes closed?
Kama unasikiliza mziki kwa kuuelewa ED SHEERAN is incomparable..
Nevertheless!The Weeknd ana Ananyimbo kali, hits song za mda wote but HE IS NOT EVEN CLOSE! To ED TALENT WISE..