Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?



hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....

Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...[emoji28][emoji28][emoji28]

Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...[emoji7].

Kwatuuu....[emoji4].
Hii Ngoma niliisikiga namkumbuka Rahma Toto la kimburu dah..!
Pisi Kali zaidi niliyowahi kuitomber hapa duniani..

I'm in love with shape of you
We pull and push like a magnet do
[emoji28]
Ed ni mnyama sana
 
Dahh hii thread ni fikirisha sana nawaza kusema the weekend ni mkali ila kila nikifikiria ile perfect, thinking out loud na break your heart za ed sheeran nakosa jibu kabisa[emoji854] nipo dilemma
Ed ana classic songs zaidi ya 3,
 
Ongezea na za Kalubandika....😅😅😅

Huku unashushia michembe wakati unasubiri nswalu na nsansa.
Kasie
Kwa uliyo andika ya nswalu na nsansa
It mean we belong to the same Ethnic group 🤓🤓🤓

Maana mzaramo hawez jua nswalu na nsansa na ntwilii...
Na miaka kama 10 na ushee sijawai kula....
 
Back
Top Bottom