Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

Ed Sheeran vs The Weekend nani zaidi?

Hawajui kitu hawa watakua wameanza kufwatilia mziki wa mbele juzi The weekend is the best of all time Tena wakikaa vibaya na ya mwaka huu anachukua
The weekend labda kama umeanza kusikiliza Leo yupo kwenye PICK na 🎮 kitambo....
Ni mkali hata,
BET Award for Best Male R&B/Pop Artist
Currently held by: The Weeknd (2022)
🤚
 
Huyo mzee Ed namkubali sana kuna goma lake kashirikishwa la Peru ,linanikumbusha tulivyoshindwa kufungua hennesy .😃😃
 
Hiivi wajomba mnalichukulia KOO la ED sheeran la kawaida sana eeh?

ED SHEERAN anaimba yule mzungu bwana,muziki ni TALENT na yule mwamba Mungu kampa bwana!
 
Wanasemaga Ed ni better musician na the weekend better artist.. Ed is Genius, he can sing Rap hata singeli anaweza imba 🤣🤣…. Ameinvest more into his music and yet he is sooo HUMBLE.
 
The Weeknd ni bora zaidi, nyimbo zake bora kama starboy,i feel it coming na call out my name pia katika album yake ya after hours kafany vizur sana na nilishangaa why hakupata Grammys hata 1 kwa nyimbo zake kama Blinding lights,save your tears,in your eyes,heartless,until I Bleed out e.t.c
The weeknd mziki anaoufanya ni mziki flani hv wa pop uliokuwa unafanywa miak ya nyuma huko 1980 had 90,mziki wa kina Michael Jackson ana mix na mziki wa sasa .Kwangu mimi The Weeknd anafanya mziki wa dunia yake mwenyew. he is the best
 
Hawajui kitu hawa watakua wameanza kufwatilia mziki wa mbele juzi The weekend is the best of all time Tena wakikaa vibaya na ya mwaka huu anachukua
Inafikirisha sana, mpka unajiuliza huyu anasikiliza mziki kweli au anaenda na upepo tu. The weeknd mpka sasa ndo anaongoza spotify kama msanii anayesikilizwa zaidi kwa mwezi, ana wasikilizaji zaidi ya 100M.
 
The Weeknd ni bora zaidi, nyimbo zake bora kama starboy,i feel it coming na call out my name pia katika album yake ya after hours kafany vizur sana na nilishangaa why hakupata Grammys hata 1 kwa nyimbo zake kama Blinding lights,save your tears,in your eyes,heartless,until I Bleed out e.t.c
The weeknd mziki anaoufanya ni mziki flani hv wa pop uliokuwa unafanywa miak ya nyuma huko 1980 had 90,mziki wa kina Michael Jackson ana mix na mziki wa sasa .Kwangu mimi The Weeknd anafanya mziki wa dunia yake mwenyew. he is the best
Hiyo blinding lights ilikaa sana kwenye chart, ilitoka ikarudi tena. Kifupi jamaa yuko vyema, kuhusu Grammy hana tofauti na Katy Perry, inategemeana sana na huo mwaka aliofanya vizuri aliingia kwenye category na nani. Mtu ukiambiwa Katy hana Grammy unabaki unashangaa.
Kingine wamarekani wakimpenda mtu wanapata kama wazimu,ndo maana unakuta mtu kama Taylor Swift ana Grammy za kutosha, majuzi Olivia Rodrigo naye kapewa za kutosha.
 
Inafikirisha sana, mpka unajiuliza huyu anasikiliza mziki kweli au anaenda na upepo tu. The weeknd mpka sasa ndo anaongoza spotify kama msanii anayesikilizwa zaidi kwa mwezi, ana wasikilizaji zaidi ya 100M.
Waelekeze hao watu huwa wanaenda na upepo 😂wanasikiliza tu heat song alaf wanasema msanii ni best Yan wanakosea sana kumfananish weekend na yule Ed
 
Hiyo blinding lights ilikaa sana kwenye chart, ilitoka ikarudi tena. Kifupi jamaa yuko vyema, kuhusu Grammy hana tofauti na Katy Perry, inategemeana sana na huo mwaka aliofanya vizuri aliingia kwenye category na nani. Mtu ukiambiwa Katy hana Grammy unabaki unashangaa.
Kingine wamarekani wakimpenda mtu wanapata kama wazimu,ndo maana unakuta mtu kama Taylor Swift ana Grammy za kutosha, majuzi Olivia Rodrigo naye kapewa za kutosha.
Umenena vizuri
 
Jamaa Anaitwa The Weeknd,
Very Talented Singer from Toronto.
Nakubal ngoma yake "call out my name" ni wayaaa
 
Inafikirisha sana, mpka unajiuliza huyu anasikiliza mziki kweli au anaenda na upepo tu. The weeknd mpka sasa ndo anaongoza spotify kama msanii anayesikilizwa zaidi kwa mwezi, ana wasikilizaji zaidi ya 100M.
Statistics zako based on 2023… Ed has been there, done that na sio mwezi moja.. Subtract Album inakuja.

List of most-streamed artists on Spotify - Wikipedia

Pita humu uone..
 
hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....

Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...😅😅😅

Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...😍.

Kwatuuu....😊.

Kumbe huyu ndo kaimba hili dude??
 
hii kitu popote nikiisikia, naamka/nasimama kiuno na nyonga vinaanza kupishana kwa mwendo wa zig zag.....

Ardhi itatambua kuna mnyamwezi anayarudi madogoli...[emoji28][emoji28][emoji28]

Basi tuu, Raha ndani ya rohooo...[emoji7].

Kwatuuu....[emoji4].
Madogoli??

Wee ni mtu wa kunyumba? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila bibi jaman lol
 
Back
Top Bottom