Ballerina
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 386
- 187
Hajakosea mkuu.........
Hammie Rajab amefariki wiki iliyopita tarehe 21/04/2011 katika hospitali ya Amana Ilala ambako alilazwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Malaria.....Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi,Amina
Hata mimi nilikuwa mpenzi wa hadith zake,kazi ya Mungu haina makosa,apumzike kwa amani,AMINA.