Hata Sina kinyongo
Senior Member
- May 16, 2020
- 118
- 280
Eddo kwa kufanya hivyo kuna sehemu yoyote anavunja katiba ya JMT?Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.
Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.
Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.
Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Huo ushauri ni kama nguvu za Giza Siasa hazikwepeki ukishindwa kushinda ungana naoHuu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.
Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.
Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.
Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Je una ushahidi!Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.
Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.
Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.
Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Kutoa shutuma bila ushahidi ni ushamba na ujinga tuu.Sasa hizi plain claims bila ushahidi unatuletea humu? Hebu leta uzi wenye credible sources na evidence.
Otherwise nitashawishika kuamini kwamba wanaJF mazwazwa wameongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha kutisha watuHuu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.
Habari zilizopo umekuwa kiunganishi baina ya wanasiasa fulani wanaotaka kuhama chama A kwenda B kuwafikishia mipango yao kwenda chama B.
Kama kijana mtu mzima jihadhari na siasa hatarishi maana huwa mara zote hazina mwisho mzuri.
Ni ushauli ambao unaweza kuuchukua ama kuachana nao!
Mungu ibariki Tanzania na Timu ya Yanga.
Sasa hizi plain claims bila ushahidi unatuletea humu? Hebu leta uzi wenye credible sources na evidence.
Otherwise nitashawishika kuamini kwamba wanaJF mazwazwa wameongezeka
Sent using Jamii Forums mobile app
Je una ushahidi!
Huna hoja
Huu ni ushauli kwako ndugu Eddo achana na siasa na jikite katika tasnia ambayo unaimudu.