Eddo kumwembe: Goli la Singida fountain Gate ni goli halali kabisa sema mwamuzi kawanyima goli

Eddo kumwembe: Goli la Singida fountain Gate ni goli halali kabisa sema mwamuzi kawanyima goli

Achana na Edo yeye anasimamia ukweli.
Kama Mangungu alishawahi kusema Tff ina wanyanyasa na wanaweza hamia Ligi ya Zanzibar, ivi kiongozi wa mpira asiyejua ata izi ni ligi mbili ni tofauti na hoja yake ni ya kipuuzi aliwezaje kuwa mwenyekiti wa simba?
Mwisho wake ana mleta Manzoki kwenye mkutano wa wanachama wote na kuwarubuni anamsajili dirisha dogo[emoji3][emoji3][emoji3]
NAKAZIA
 
Kwani takukuru wakisikia hata habari si wanaanza kufanya kazi...... Ligi namba tano inakwenda kuwa ligi safi hakuna bahasha tena😂😂
 
Achana na Edo yeye anasimamia ukweli.
Kama Mangungu alishawahi kusema Tff ina wanyanyasa na wanaweza hamia Ligi ya Zanzibar, ivi kiongozi wa mpira asiyejua ata izi ni ligi mbili ni tofauti na hoja yake ni ya kipuuzi aliwezaje kuwa mwenyekiti wa simba?
Mwisho wake ana mleta Manzoki kwenye mkutano wa wanachama wote na kuwarubuni anamsajili dirisha dogo[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwaiyo umesahau tumbo alianza kusema tuna onewa na Mambo yakiwa ivi tunaamia Zanzibar ushasahu kumbe timu mbovu
 
Edo alisomea wapi urefalii?
Mpira tu nna mashaka kama alishawahi kucheza sembuse huo uamuzi.

Kuna uwanja wa shule karibu na kanisa nishawahi kumwona akigusa, nikajua hata danadana 2 hawezi.
Hakuna kusoma urefa wala kuandika sote tumeona mpira live , goli halali la Singapore Big Stars limekataliwa na kuchafua uwekezaji wa Azam kuonesha mechi zetu live Africa nzima! Timu yenu imestruggle sana, wachezaji wanakimbia ovyo bila mipango na Leo Simba ilizidiwa second half na kubebwa hadi kushinda mechi Kwa mchongo , full stop! Hali hii ikiendelea Yanga tutaomba kuhamia ligi ya Kenya maana inatia kichefuchefu kuangalia mechi za Simba, litimu bovu linabebwa tu!
 
Kwaiyo umesahau tumbo alianza kusema tuna onewa na Mambo yakiwa ivi tunaamia Zanzibar ushasahu kumbe timu mbovu
Uyo unaye mwita Tumbo yeye ndiye aliye buni mifumo mingi pale Tff akiwa General Secretary.
Hafanani na mangungu ata kidogo ni mtu wa soka hawezi kuzungumza maswala ya kuhamia Zanzibar.

Walitofautiana na Tff kwenye ishu ya Morisson kwakua alikua akifahamu michezo iliyokua ikifanyika nyuma ya pazia.
Kumbuka alisha hudumu pale na ana watu walikua wakimpa za ndaani mambo yanavyo fanyika kwenye swala la Morisson.
 
T

Toka yanga isajili vizuri kuna alie ibuka na kusema tutaham hii ligi tuna onewa uoni chanzo ni timu kuwa mbovu sem mwenyew mkuu
 
Wenye akili tayari tumeshajua Nini kinachoendelea kwa Hawa marefa.

Endeleeni kukaza mafuvu shubamiti.
Sidhani kama kuna namna yoyote kinyume na umbumbumbu wa mshika kibendera. Tukio lile hata ukimrudisha tena uwanjani yeye mwenyewe atarudi Kati. Hakuna alichopewa zaidi ya "MAFHAIFU YA KIBINADAMU".
 
Wenye akili tayari tumeshajua Nini kinachoendelea kwa Hawa marefa.

Endeleeni kukaza mafuvu shubamiti.
Edo kumwembe ni nani?. Je amewahi kuchezesha mechi yyte ya ligi kuu? Hakuna. BASI NI MPUUZI TU HUYO
 
Back
Top Bottom