Eddy kenzo beats Diamond Platnumz and chameleone in kora awards Africa top 20 artistes.

Vitu vingine unatumia akili ya kawaida tu....Dimond kaimba na Davido,P.Square,Flavour,Waje,Blacket,Yemi Alade alafu aende akafanye Show Nigeria asishangiliwe?

Watashangilia nyimbo zake kwa sababu zina sauti za watu wanaowajua na sio kwamba wanamkubali au kumuelewa.

Kwa Eddy ni kitu tofauti hategemei Collabo kusogeza Mziki wake ila Ana tuzo ya BET sebuleni Kwake.
BET ya msanii chipukizi
 
Wajanja hao wanataka wawatibue mashabiki wa tz waingie kupiga kura kwa wingi
 
BET ya msanii chipukizi
Kwanza haikuwa ya msanii bora chipukizi....BET hawatoi tuzo ya msanii bora chipukizi kwa wasanii toka Africa hayo maneno sijui umeyatoa wapi.

Ila kwa kukusaidia alibeba international viewers' choice award 2015.

Inabidi uwafanye hao wanamuonea Eddy Kenzo msanii wa kawaida kisa hategemei Collabo za Wanaigeria wajue kuwa jamaa sio mtu wa mchezo mchezo.

Na hapo aendi south Africa kufanya video Na Kina Goodfather video zake anagonga pale pale Kampala Na zinabamba mpaka BET wanampa Award.
 
IVC AWARD ,nilikosea!
kwahiyo hao BET ni akina nani has a mpaka tuwaamini? kwamba wana select kilicho bora zaidi?!!!
Mimi naamini wanampa wanaemtaka, has a kwenye hizi IVC Awards.....
huumpa wanaemuona wao, sio mnaemuona nyie.
 
Hebu achana na hayo kwanza,kwanini ushangilii kiba kuwa namba moja (1) hapo ???😀😀😀😀
 
Vitu vingine unatumia akili ya kawaida tu....Dimond kaimba na Davido,P.Square,Flavour,Waje,Blacket,Yemi Alade alafu aende akafanye Show Nigeria asishangiliwe?

Watashangilia nyimbo zake kwa sababu zina sauti za watu wanaowajua na sio kwamba wanamkubali au kumuelewa.

Kwa Eddy ni kitu tofauti hategemei Collabo kusogeza Mziki wake ila Ana tuzo ya BET sebuleni Kwake.
Hivi kiba yupo namba ngapi hapo ...............???
 
Yule mfalme, multi-award winner mbona simuoni?
 
IVC AWARD ,nilikosea!
kwahiyo hao BET ni akina nani has a mpaka tuwaamini? kwamba wana select kilicho bora zaidi?!!!
Mimi naamini wanampa wanaemtaka, has a kwenye hizi IVC Awards.....
huumpa wanaemuona wao, sio mnaemuona nyie.
Sasa mbona mnalalamika Kora kumuweka Eddy Kenzo juu ya Dimond kama unayajua hayo?

Ndio maana kuna tuzo kibao na kila tuzo ina taratibu zake so msije juu mkiona mambo yapo tofauti na matakwa yenu.

Hapo juu nimekupa mfano wa Eddy kuwa juu ya Dimond kukuonyesha kuwa jamaa sio mtu mdogo kama team madale mnavyodhani
 
Vitu vingine unatumia akili ya kawaida tu....Dimond kaimba na Davido,P.Square,Flavour,Waje,Blacket,Yemi Alade alafu aende akafanye Show Nigeria asishangiliwe?

Watashangilia nyimbo zake kwa sababu zina sauti za watu wanaowajua na sio kwamba wanamkubali au kumuelewa.

Kwa Eddy ni kitu tofauti hategemei Collabo kusogeza Mziki wake ila Ana tuzo ya BET sebuleni Kwake.
Hawashangilii kwa sababu ya kuimba na mtu wao, bali wanashangilia kwa sababu ya nyimbo nzuri na show nzuri za Diamond. Kuimba na mwanamziki wa nyumbani si kigezo cha kukufanya ukubalike.
 
Kama ungeangalia show aliyofanya Juzi Nigeria usingekuja hapa kusema maneno ya hivi alafu hujui hata kwanini wasanii wanafanya Collabo.

Bila Wimbo wa Watora Mari tungemjua Yule jamaa?!Unadhani kama Diamond akienda Zimbabwe hatakosa mashabiki kwa sababu ya ule Wimbo?!
 
Back
Top Bottom