Edgar Kibwana: Simba wapange kikosi hivi ili waweze kupata droo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
Screenshot_20220424-111740.png
 
Hiki kikosi kinafaa.
Maana hadi sasa Simba inaongoza 1:0 hivyo kipaumbele namba moja ni kulilinda goli lao, huku kipaumbele namba mbili ni kutafuta goli la ugenini.

Kwa kikosi hicho inamaana Kapombe na Mohamed Hussein wanakuwa pia ni mawinga
Wawa na Lwanga wanakuwa vilaka wa kulinda nafasi ya fullbeki punde kina Kapombe wanapopanda.

Staili nzuri ya kujilinda ni kama vile walivyocheza hawa Orlando walivyokuwa Dar. Lile goli lilipatikana kwa juhudi binafsi za Morson, nje ya hapo jamaa waliziba njia zote.
 
Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
View attachment 2198589
Ukweli ni kwamba Simba hawana wachezaji wa kuweza kuzuia dakika 90. Na akisema azuie mwanzo mwisho, atajiongezea nafasi ya kufungwa.

Hiki kikosi amewekwa Kibu Deniss sababu ya counter, Ila kiuhalisia, jamaa anachezaga as if amekatwa kichwa. Anahitajika mtu mwenye akili na mpira, mfano Bwalya
 
Wamtoe Kibu tu waweke makipa wawili si muhimu wachezaji 11 mbona kuweka mabeki watano wanaruhusiwa weka makipa wawili muhimu 11 players 😛
Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
View attachment 2198589
 
the best way to defend is to attack . Ukikaa sana nyuma una invite presha na mwisho wa siku lazima ufungwe tuu ! Simba waende kushambulia
 
Ukweli ni kwamba Simba hawana wachezaji wa kuweza kuzuia dakika 90. Na akisema azuie mwanzo mwisho, atajiongezea nafasi ya kufungwa.

Hiki kikosi amewekwa Kibu Deniss sababu ya counter, Ila kiuhalisia, jamaa anachezaga as if amekatwa kichwa. Anahitajika mtu mwenye akili na mpira, mfano Bwalya
😬😬 Yule Kibunenga kuna wakati anakimbia mpaka kujikuta yuko jukwaani kwa mashabiki!

Kiukweli Kibu Dennis ni Ditram Nchimbi anayechezea simba.
 
Back
Top Bottom