Edgar Kibwana: Simba wapange kikosi hivi ili waweze kupata droo

Edgar Kibwana: Simba wapange kikosi hivi ili waweze kupata droo

Kwa taarifa kamli lazima mfungwe Gori 3+ na Gori Moja ni penalty 😀 iwe ya kweli au laah.
 
😬😬 Yule Kibunenga kuna wakati anakimbia mpaka kujikuta yuko jukwaani kwa mashabiki!

Kiukweli Kibu Dennis ni Ditram Nchimbi anayechezea simba.
Teh teh teh teh 😂😂😂 dah!.. mashabiki bhana....
 
Kuna mtu fungwa
3-1
La kwanza litakuwa la penalti
La 2 Na la 3 watafungwa kwenye dakika za 60+
 
Back
Top Bottom