Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Punguza kula maharagwe, hao ni subBeno Kakolanya acheze namba mbili?
Sub total?Punguza kula maharagwe, hao ni sub
Hahahaha nimeshangaa mdau wa mpira ameshindwa kufikiri walau kidgPunguza kula maharagwe, hao ni sub
Ahahaaaa....Beno Kakolanya acheze namba mbili?
Ukweli ni kwamba Simba hawana wachezaji wa kuweza kuzuia dakika 90. Na akisema azuie mwanzo mwisho, atajiongezea nafasi ya kufungwa.Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
View attachment 2198589
Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
View attachment 2198589
kwa hiki kikosi na hiyo formation Simba Sc ikiponywa sana basi goli 3Kuelekea mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF, kati ya Orlando Vs Simba, mchambuzi Edgar Kibwana wa Sports Extra ya Clouds Fm amependekeza kikosi chake ambacho kikipangwa kinaweza kikafuzu. Je una maoni gani?
View attachment 2198589
π¬π¬ Yule Kibunenga kuna wakati anakimbia mpaka kujikuta yuko jukwaani kwa mashabiki!Ukweli ni kwamba Simba hawana wachezaji wa kuweza kuzuia dakika 90. Na akisema azuie mwanzo mwisho, atajiongezea nafasi ya kufungwa.
Hiki kikosi amewekwa Kibu Deniss sababu ya counter, Ila kiuhalisia, jamaa anachezaga as if amekatwa kichwa. Anahitajika mtu mwenye akili na mpira, mfano Bwalya
π π π π πWasiwasi wake tu,lakini ukweli ni kwamba Simba watapanga kikosi kazi cha kutafuta magoli zaidi wazo la kudefance kwa Simba alipo.