Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA

Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA

PiedPiper77

Senior Member
Joined
Jan 8, 2025
Posts
146
Reaction score
196
===
CHADEMA kwisha habari yake,

Poleni sana wanachadema,

Sisi Wananchi hatuwezi kuishi kwenye tawi la CCM bora tuende kwenye mti wenyewe.


IMG-20250120-WA0166.jpg
 
Kiukweli busara kuachana na CDM na kubaki mwananchi huru

Akiharibu mwana CCM anapigwa spa na na akiharibu mwanaCDM nae unalala nae

Sio huu uhuni wa kimachame kutoka kwa baba mkwe kumrithisha mkwewe chama huku wakunja ngumu ndio tunakuwa ngazi zao

Kesho akishinda MBOWE siasa kwa heri
 
Halafu huyu dogo alitakiwa apatite ushauri. Hawezi kupigana na chadema huku akipigana na system. Chadema ndio wakimsemea
Chadema ya aikaeli mbowe ambayo imegeuka tawi la CCM.

Kesho WAZALENDO wahakikishe wanahitimisha safari ya sultan,kaguta, ayatollah, Mugabe,kagame, nkurunzinza aikaeli mbowe
 
Back
Top Bottom