Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA

Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA

Kiukweli busara kuachana na CDM na kubaki mwananchi huru

Akiharibu mwana CCM anapigwa spa na na akiharibu mwanaCDM nae unalala nae

Sio huu uhuni wa kimachame kutoka kwa baba mkwe kumrithisha mkwewe chama huku wakunja ngumu ndio tunakuwa ngazi zao

Kesho akishinda MBOWE siasa kwa heri
Huna ubavu wa kuacha siasa, utaugulia kushindwa then utakunja ngumi tena
 
Huna ubavu wa kuacha siasa, utaugulia kushindwa then utakunja ngumi tena
Rasilimali muda niliyopoteza inatosha saana

Siwezi kuwa chanzo cha mapato ya mtu na familia yake , nitabaki mtazamaji tu .

Japokuwa ninauhakika MBOWE kwa sanduku la kura hatoboi hata kwa miujuza ya Mwamposa .
 
Tibu majeraha kijana Mungu kakuokoa, achana na CDM kabisa sababu ilianzishwa wewe ukiwa tumboni.
Kwa nini mnakuwa na kebehi mbaya hivi? Unajua ule usemi unaosema hujafa hujaumbika na Mungu hadhihakiwi? Hivi mnadhani CHADEMA itaendelea kuwepo baada ya kesho? Mbowe keshachukuwa fedha na Samia katoa amri vyombo vyote vya dola vihakikishe anapitishwa kwa nguvu kuwa mwenyekiti. Huu ndiyo mwisho wa Chadema kwani itakimbiwa na umma wabaki Mbowe na wengine.
 
Sasa kumwambia mtu atibu majeraha Mungu kamponya - hapo nini tatizo mbona mnapemda kuwekea watu maneno.
 
Back
Top Bottom