Edgar Mwakalebela (Sativa) atangaza mwisho wa CHADEMA


Unajua kuwa TLP na CHAUMA bado vipo hata CUF ipo
 
Sasa kumwambia mtu atibu majeraha Mungu kamponya - hapo nini tatizo mbona mnapemda kuwekea watu maneno.
Umemkebehi na hukumwambia kwa nia nzuri. Sijakuwekea maneno ila nimekukumbusha kuwa hujafa hujaumbika.
 
===
CHADEMA kwisha habari yake,

Poleni sana wanachadema,

Sisi Wananchi hatuwezi kuishi kwenye tawi la CCM bora tuende kwenye mti wenyewe.


Waliomshauri TAL kuacha nafasi ya Makamu hakufanya uchambuzi wa kina bali alitumia mihemko ya kiuanaharakati.
Ngoja tuone kati ya Taasisi na Mtu ni kipi kitapotea kisiasa.
 
Subiri kesho na siku zijazo ndio mtajua maana ya kauli hiyo.
 
Halafu huyu dogo alitakiwa apatite ushauri. Hawezi kupigana na chadema huku akipigana na system. Chadema ndio wakimsemea
Jua linampiga amewekewa kivuli Cha mwavuli lakni anataka kutoka aende njee ya mwavuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…