Edger kibwana anajua sana kutangaza mpira

Edger kibwana anajua sana kutangaza mpira

Jamaa yuko mjema.

Nje ya mada: Mnaoangalia mpira kwa tbc mnawezaje wakuu, quality mbovu balaa sijui shida ni nini?

Ukiangalia chanel za dstv halafu uje kuangalia tbc unaona chenga tu.

Nilitamani kuonja ladha ya watangazaji wa tbc ila ule ukungu kideoni ulinishinda, nyie mnawezaje??
Hahahaha!! Eti ukungu daah!

By the way hawa Tbc wamenitokaga rohoni kitambo sana.
 
Nimeangalia mechi kati ya Netherland na Equador mtangazaji ni Kitenge na Ibrahim Maestro, ila walikua hawatangazi mpira walikua wanapiga story zao tu.
 
Back
Top Bottom