Edibily Jonas Lunyamila,"Lunya"

Edibily Jonas Lunyamila,"Lunya"

I wish angekuepo wakati huu ambapo kuna utandawazi. Kwa jinsi nilivyokua namsikia nadhani angekua anacheza kwenye mojawapo ligi kubwa ulaya
 
Hivi hakuna video zake huyu jamaa? Sisi wengine hatujamfaidi sana.
 
mag video zenyewe hakuna ila kama ulimwona rayani ggggs aliyestaafu pale manchester basi pata picha hiyo mtu ambaye kama wangecheza timu moja na wangepishana namba ni marehemu majid musis huyu alikuwa mganda ni balaa yaani huwiiii hatariii,alikufa kwa ulevi kama mafisango
 
Back
Top Bottom