mag video zenyewe hakuna ila kama ulimwona rayani ggggs aliyestaafu pale manchester basi pata picha hiyo mtu ambaye kama wangecheza timu moja na wangepishana namba ni marehemu majid musis huyu alikuwa mganda ni balaa yaani huwiiii hatariii,alikufa kwa ulevi kama mafisango