Edinson Cavani adhalilishwa

Edinson Cavani adhalilishwa

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,370
Reaction score
3,962
Mchezaji wa Uruguay kwa jina tajwa hapo juu jana wakati a mechi ya Copa America dhidi ya Chile alipewa kadi ya pili ya njano na kumfanya apewe kadi nyekundu baada ya kumpiga kofi mchezaji wa Chile aliemtia kidole matakoni.

Jionee mwenyewe hapa ukipenda;

Kyoma umeniwahi yaani ndio nilikuwa nakuja jukwaani nipost,ila poa tu ngoja niongezee ulipoishia.

View attachment 263306

 
Last edited by a moderator:
Kyoma umeniwahi yaani ndio nilikuwa nakuja jukwaani nipost,ila poa tu ngoja niongezee ulipoishia.

14716-cavani-jara.jpg&w=640.jpg

 
Last edited by a moderator:
mambo mengine bwana kupimana kiwango cha hasira tu
 
Hii imenikumbusha miaka ya tisini nilikuwa shule moja inaitwa kili boys, tulikuwa tunacheza na marangu sec, kuna jamaa mmoja wa kboys alimfanyia hivi hivi mchezaji mwenzake, mbaya zaidi aliyefanyiwa akawa anakimbia kukatiza uwanja huku nae jamaa anamkimbiza akiwa kamchoma dole, noma sana!
 
Kumbe hii ndo sababu ya RED .. Jamaa ana bahati alipigwa kofi ingekuwa Africa angepigwa ngumi, vichwa,buti na baada ya mechi unafuatwa na mob ya mtaani unashambuliwa na visu,vyupa makuti, fimbo,fito nk
 
Yani ilo tifu lake game ingeisha apo apo. Kwanza Cavani kazingua unapigwa ndole unarudisha kofi¿¿
 
Cavani kawa mstaarabu sana Aisee Yaani ilifaa vichwa kama mia mfululizo, mabanzi, makonde, za Chembe, ngumi800, za uso
 
Da! Ninavyojijua, sahizi ningekuwa gerezani!
 
Duu....mamake yaani ningempa mapigo ya ki Maywhether mpaka azime huyo choko mpiga finger wanaume wenzie.
 
Cavani hakumpiga kofi wala nini...... Ila jamaa kafungiwa kucheza Copa America.

Uruguay kisasi kimewarudia. Alichofanya Suarez South Africa kwenye kombe la dunia kwa kudaka mpira wa Goli wakicheza na Ghana, iliuma sana.

Suarez-Handball.jpg
 
Ile dhambi ya 2010 itawatafuna mpaka watie adabu na sasa wako hoi kwakuwa zombi lao limefungiwa
 
Back
Top Bottom