Edna Lema kocha msaidizi Biashara united ya Mara

Edna Lema kocha msaidizi Biashara united ya Mara

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga Princess Edna Lema atangazwa kuwa Kocha Msaidizi wa Timu ya Biashara United ya mkoani Mara akiungana na Aman Josiah na Ivo Mapunda.
332548bcd9b441c89c3fbfdbb1e78fce_367948359_813153540300984_5882973604290882945_n.jpg
 
Wamewaweza maana hao wanaonaga wanawake sijui ni kitu gani
 
Huu usawa huu hata ambapo sipo haya
Kama naziona lawama huko mbeleni
 
Back
Top Bottom