EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

Ndio, Yanga haina ubora huo wa kutufunga goli 5 magoli yenyewe ni mepesi sana.
Magoli magumu yakoje braza.
Simba isajili vizuri dirisha lijalo, msiishi kwa historia hata horoya ilikuw bora na kuchukua makombe mawili ya CAF ambayo nyinyi hamna, lakini leo wameshuka na CAF haiwatambui kama giants.
Ubora unapaliliwa sio kukaliliwa kama notes.
Maboresho ni muhimu, na lazima tuwambie viongozi wawe serious nje ya hapo tunashuka ubora na heshima msimu hadi msimu.
 
Msimu uliopita yanga na simba nani kafanikiwa kuliko mwenzake???
Na nani kuchukua point nying za CAF kuliko mwenzake??
Braza hata maana ya anguko hujui? Anguko haliji kwa siku moja, linakuja taratibu na ubora unakuja taratibu pia.
Simba lzm tukubali ubovu, kisha tupange lkn kwa msimu wa jana na huu yanga wako mbele yetu kimafanikio km tulivokuwa bora dhidi yao miaka minne ya ubora wetu.
 
Kwa sababu aliruhusu tuhujumiwe

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume yeyote hawezi kuacha kuisifia nyumba yake na kwenda kuisifia nyumba ya jirani.

Wenye tabia hizo ni mashoga tu 😂 😂.

My take : kama unavutiwa na Uto hamia huko, endelea kuisifia kwa kujiachia ni haki yako kufanya hivyo, ila usirudi Simba
 
Robo fainali mara 4 mfululizo points 29
Yanga fainali mara 1 points 23 hivi uogopi 😂,miaka 4 caf robo lakini upo pot ya 2 Yanga fainali 1 yuko pot ya 3,master kwa huu ubishi wako unahitajika mirembe 😂
 
3,master kwa huu ubishi wako unahitajika mirembe 😂
Mirembe inawahusu wote waliokunywa supu za kibudu kusherehekea bao tano huku hawatambuliwi na CAF kama wao ni team bora japo wao kama Uto hutambulia team bora huko buza na Mbagara
 
Bado ni mtoto kwenye football career
 
Ni kweli iliuzwa,Yanga waliwapa pesa wachezaji kadhaa wa Simba,ndio waliouza mechi,kocha aliyetimuliwa analijua hilo na alitaka kusema,wakamuwahi kwa kumtimua ili viongozi walioshiriki hiyo dhambi wasiabike asilani,upo bloangu??
Simba mukiwa na mawazo funyi ya kuwaza mechi iliuzwa badala ya kusajili wachezaji vijana wenye viwango , stamina na kiu ya mafanikio hamtakaa mupate mafanikio uwanjani.
Viongozi wenu watazidi kuwadanganya kwa kutoa sababu nyepesi ili musishtuke na kuwahoji .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…