Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mlizivaa jezi za Simba kisha mkajipiga selfie na kujipost kama wafanyavyo madada poa wafukuziao mabwana 😂😂
Magoli magumu yakoje braza.Ndio, Yanga haina ubora huo wa kutufunga goli 5 magoli yenyewe ni mepesi sana.
Msimu uliopita yanga na simba nani kafanikiwa kuliko mwenzake???Hata kama kampiga kwa kwa kwato ya kibudu bado Simba ni matawi ya juu sana.
Endeleeni kumchambua hizo 5 ila Simba ni ile ile inayotamba Africa.
Nyie kutamba kwa vibanda umiza vya Mbagara na Buza daima 😂😂😂😁😁😁
Kwa sababu aliruhusu tuhujumiweEDO: SIMBA KUMFUKUZA KOCHA NI KUWEWESEKA NA KIPIGO.
"Majuzi Simba wamefungwa bao tano na watani zao,nimekumbuka mengi.Nadhani lilikuwa ni hitimisho la anguko lao dhidi ya watani wao.Kipimo cha maendeleo ya Simba sio Yanga,lakini unahitaji kuangalia kwa umakini mwenendo wa mtani wako kwaajili ya kujijenga kesho yako iliyo salama zaidi"
"Simba waliidharau Yanga wakati inajijenga.Simba walilewa na utawala wao wa miaka ya hivi karibuni..Simba walimdharau Hersi,wakaidharau na Yanga wakati ikiendelea kujitafuta"
"Simba walibeza hata Yanga kufika Fainali za Kombe la Shirikisho barani Afrika.Ule mda wa madaraka ni mtamu.Simba walikuwa katika madaraka ya soka la nchi hii kwa miaka minne mfululizo halafu na wakasahau kuidharau Yanga"
"Leo Simba wamefungwa mabao matano na Yanga na anasakwa mchawi. Mtu wa kwanza kutolewa kafara ni Kocha Robertinho.Ameondoka.Ameshakwenda kwao"
"Inadaiwa kwamba kuna wachezaji wanashutumiwa kuwa waliihujumu mechi,Kama unaamini kuna wachezaji wamehujumu mechi kwanini umfukuze Kocha? Hapo hapo Mwenyekiti wa Simba,Murtaza Mangungu naye anatuhumiwa kuhusika na kipigo.Swali kipigo kilitokana na Robertinho, wachezaji au Mangungu? Nadhani huku kote ni kuweweseka tu"
EDO KUMWEMBE via MWANASPOTI.
#FutbalPlanetUpdatesView attachment 2813593
Robo fainali mara 4 mfululizo points 29Jibu la swali lenu wachambuzi uchwara limejibiwa na CAF, wameiweka Simba katika timu bora 10 Africa.
Unataka jibu gani lingine?
Au fanya hivi watext mabosi wa CAF walilie waiweke Uto kwenye 10 bora 😂😂
Waambie Uto waliwafunga Simba 5 hadi wakafukuza kocha 😂😂
Uto ni timu bora kuliko Simba 😂😂
Waambie pia kuwa Uto wana tuzo ya kunywa supu ya kibudu cha comred Bashite 😂😂
Mwanawane utaua kila kitu maana nyie wana Uto mpo konk kuliko Simba ya Mangugu.
Haya watext sasa mabosi wa CAF we chura wahed 😁 😁
Msimu uliopita yanga na simba nani kafanikiwa kuliko mwenzake???
Na nani kuchukua point nying za CAF kuliko mwenzake??
Braza hata maana ya anguko hujui? Anguko haliji kwa siku moja, linakuja taratibu na ubora unakuja taratibu pia.
Simba lzm tukubali ubovu, kisha tupange lkn kwa msimu wa jana na huu yanga wako mbele yetu kimafanikio km tulivokuwa bora dhidi yao miaka minne ya ubora wetu.
Mwanaume yeyote hawezi kuacha kuisifia nyumba yake na kwenda kuisifia nyumba ya jirani.
Wenye tabia hizo ni mashoga tu 😂 😂.
My take : kama unavutiwa na Uto hamia huko, endelea kuisifia kwa kujiachia ni haki yako kufanya hivyo, ila usirudi Simba
Mirembe inawahusu wote waliokunywa supu za kibudu kusherehekea bao tano huku hawatambuliwi na CAF kama wao ni team bora japo wao kama Uto hutambulia team bora huko buza na Mbagara3,master kwa huu ubishi wako unahitajika mirembe 😂
Mirembe inawahusu wote waliokunywa supu za kibudu kusherehekea bao tano huku hawatambuliwi na CAF kama wao ni team bora japo wao kama Uto hutambulia team bora huko buza na Mbagara
Bado ni mtoto kwenye football careerMwanaume yeyote hawezi kuacha kuisifia nyumba yake na kwenda kuisifia nyumba ya jirani.
Wenye tabia hizo ni mashoga tu [emoji23] [emoji23].
My take : kama unavutiwa na Uto hamia huko, endelea kuisifia kwa kujiachia ni haki yako kufanya hivyo, ila usirudi Simba
Simba mukiwa na mawazo funyi ya kuwaza mechi iliuzwa badala ya kusajili wachezaji vijana wenye viwango , stamina na kiu ya mafanikio hamtakaa mupate mafanikio uwanjani.Ni kweli iliuzwa,Yanga waliwapa pesa wachezaji kadhaa wa Simba,ndio waliouza mechi,kocha aliyetimuliwa analijua hilo na alitaka kusema,wakamuwahi kwa kumtimua ili viongozi walioshiriki hiyo dhambi wasiabike asilani,upo bloangu??
Kwani kaandika kipi kibaya hapo mzee?Huyu Edo ni chawa mzee tu
Hana uchambuzi wowote
Anaganga njaa uzeeni
Ukweli ndiyo huo . Na ndiyo Maana unaona hadi sherehe zinafanyika sababu hata wao hawamini kama kweli walimkanda mnyama goli tano.Kwahiyo unamanisha anayetambaa amembugiza anayetembea mkono wa nyani?
Vp wewe unaamin kama umekandwa tano?Ukweli ndiyo huo . Na ndiyo Maana unaona hadi sherehe zinafanyika sababu hata wao hawamini kama kweli walimkanda mnyama goli tano.
Mkuu ,umemuandamaKwahiyo kuwa kumi bora kumekusaidiaje kupunguza kipigo cha goli tano?