EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

EDO: Kama Simba walihujumiwa kwanini wamemfukuza kocha?

Simba mukiwa na mawazo funyi ya kuwaza mechi iliuzwa badala ya kusajili wachezaji vijana wenye viwango , stamina na kiu ya mafanikio hamtakaa mupate mafanikio uwanjani.
Viongozi wenu watazidi kuwadanganya kwa kutoa sababu nyepesi ili musishtuke na kuwahoji .
Jifunze kuandika kwanza halafu ndio uchangie mtani
 
Msimu uliopita yanga na simba nani kafanikiwa kuliko mwenzake???
Na nani kuchukua point nying za CAF kuliko mwenzake??
Braza hata maana ya anguko hujui? Anguko haliji kwa siku moja, linakuja taratibu na ubora unakuja taratibu pia.
Simba lzm tukubali ubovu, kisha tupange lkn kwa msimu wa jana na huu yanga wako mbele yetu kimafanikio km tulivokuwa bora dhidi yao miaka minne ya ubora wetu.
Fainali ya shirikisho CAF,ubingwa wa nchi na ubingwa wa shirikisho la soka la nchi
 
Bonyeza link hiyo kujiunga 👇👇👇👇👇👇👇
Umekata tamaa na Betting na ujui njia gan utumia kupata pesa kwajili ya kukupa Ada, KUNUNUA nguo, nakulipa Kodi ya nyumba inbox nikuunge watu wengi walio jiunga wameanza kuona faida ya kubet mtaji wa 1,000 unatosha kabisa
 
Back
Top Bottom