Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Binafsi yangu mimi. Messi ni bora ila Ronaldo (CR7) ni bora zaidi ya wote wanaotajwa hapo. Makombe binafsi + makombe ya timu kwa ujumla ndio yanawatofautisha hawa watu. Ukiongelea contribution ya mmoja mmoja na impacts wanayoleta unaona kabisa CR7 kawaacha mbali hao wote.
Ronaldo keshatu prove kwamba anaweza kufanya chochote hata akienda popote Messi kacheza ligi moja ni tofauti kabisa kiupinzani aliokutana nao Ronaldo na Messi. Yaan Ronaldo kakutana na timu nyingi kuliko Messi japo uchezaji ni ule ule ila kamwe hawa watu hawawezi kufanana.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
maoni ya mtu si ukweli(fact) tuheshimu maoni yake then tuangalie uhalisia,
(1) eddo kumwembe ni mchambuzi ndio lakini naye ana upande yule, huenda hajawahi kumpenda pelle na ndio maana ameconclude bila kuweka hata data zinazomfanya messi awe juu ya pelle
(2) Shafii dauda si mchambuzi ambaye unaweza kupata kitu cha maana kutoka kwake, huyu ameongozwa na ushabiki wake kwa messi
(3) Huyu mutaliano huenda watu wanataka kumwamini kwasababu ya uzungu wake na sio uhalisia, hajatoa statistical data yeyote kati ya messi na pelle ameconclude tu kwa kisingizio cha kuwaona wakati wakicheza
Binafsi naona hajawahi kutokea kama pelle.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefatilia kumbe youtube. Hata kule you tube giroud nae anaonekana mkali etiUlimshuhudia pele akicheza?
Kwa upande wangu nimewafuatilia wote youtube Maradona and Pele, kiuhalisia Maradona ni namba ingine ile, was "much better player" than pele.
All in All Messi ni bora zaidi ya wote.
Maoni ya yupi ni mchezaji bora duniani yanatokana na utashi wa kibinadamu,mchezaji anayekuvutia zaidi ndiye unaweza kumtaja kama mchezaji bora zaidi,na kwa upande wako unakuwa haujakosea kwasababu una vigezo vyako binafsi(sio vigezo vya watu wote)...
Je,Edo Kumwembe akisema kuwa Messi ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani Issa Mbonde wa Tandale ambaye anaamini Ronaldo ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea anakua hayupo sahihi..?
Vigezo gani vinatumika kujua kwamba mchezaji fulani ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani..?
Hivyo vigezo viliwekwa na nani..?
Wanaoujua mpira kuliko sisi..?Wanaoujuwa mpira zaidi yetu sisi washasema hivyo, so mimi na wewe ni nani mpaka tubishe
Wenye mpira wao wanajua pelle hanaga mpinzani, huyu messi mtaftieni nafasi nyingine.Ulimshuhudia pele akicheza?
Kwa upande wangu nimewafuatilia wote youtube Maradona and Pele, kiuhalisia Maradona ni namba ingine ile, was "much better player" than pele.
All in All Messi ni bora zaidi ya wote.
HahaaaEdo na Gulliani washasema hivyo, mimi nani mpaka nibishe! Nitakuwa mwendawazimu basi [emoji3]
Wanaoujua mpira kuliko sisi..?
Kipi kinachokufanya uamini kuwa Edo Kumwembe anaujua mpira kuliko mimi..?
Okay,let's say Edo Kumwembe anaujua mpira kuliko mimi(kwa vigezo ulivyotumia). Kwa vigezo hivyohivyo ulivyotumia kusema kuwa Edo Kumwembe anaujua mpira kuliko mimi,hakuna anayeujua mpira wa miguu kuliko Edo Kumwembe mwenye maoni tofauti na huyo Edo Kumwembe kuhusu yupi ni mchezaji bora wa mpira wa miguu kuwahi kutokea..?
Wenye mpira wao wanajua pelle hanaga mpinzani, huyu messi mtaftieni nafasi nyingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu hao kina Gullian + kumwembe waambie wamtangaze Messi kuwa mfalme wa soka duniani kama uwezo wanao.Wenye mpira wao akina nani sasa? ina maana unapingana na GULLIANI RAISI WA AC MILAN + KUMWEMBE! maana sio wao tu wanaomkubali Messi, wako wengi sana. Sasa wewe kama nani ubishe!
Aliyekua makamu wa Rais wa milan kwa sasa Adriano Galian ni member wa senet.