BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Kwahiyo yupo sahihi kuliko kina klopp,hans flick na majority ya mashabiki wengi wa soka duniani?
Messi ni mchezaji wa kipekee sana,lakini tuzo ya jana hakustahili.
5 amazing achievements which make Lionel Messi the favourite to win the 2021 Ballon d'Or awardKwahiyo yupo sahihi kuliko kina klopp,hans flick na majority ya mashabiki wengi wa soka duniani?
Messi ni mchezaji wa kipekee sana,lakini tuzo ya jana hakustahili.
Nani sio wa kawaida.Wa kawaida sana...
Eddo.sio Mwandishi wa habari futa kauli yako.View attachment 2029582
TV & RADIO PERSONALITY SPORTS JOURNALIST @wasafitv, Edo Kumwembe. Ametoa ya moyoni kuhusu Lion Messi baada ya kubeba ballon d'Or ya 7, nami BlackPanther kwa upande wangu nasema hivi "Yuko sahihi na wala hajakosea hata kidogo bwana Edo" ingawa kwangu mimi bado nitaendelea kuwakubali (Lion Messi and Diego Armando Maradona) ndiyo wachezaji bora ever...ever...,hakuna mchezaji yeyote wa kuwakaribia wawili hawa.... ameongeza tena kwa kusema "Wengine sura zinakataa lakini mioyo inakiri" wako wengi sana wa namna hiyo, hata humu tunao wengi tu [emoji3]
"Naomba tuchangie kwa heshima bila kuingiza Matusi, dhihaka, kejeli n.k
BlackPanther
Wa kawaida sana...
Eddo.sio Mwandishi wa habari futa kauli yako
Kwanini unasema maradona ni mchezaji bora?