Edo Kumwembe: Fiston Mayele anaumia sana kuona Yanga inafanikiwa bila yeye

Fala wewe.
Kweli ni ngumu kushinda mjadala na mtu anayejielewa ila ni karibia na haiwezekani kushinda mjadala na mpumbavu anayejifanya anajua(ambae ni wewe).
Uwe na asubuhi njema.
Kwa jinsi leseni yangu ya ukocha ilivyokubwa ni aibu kubishana mambo ya mpira na mtu kama wewe unaechanganya champions league na confederation
 
Yaani ni sawa na kuachana na mpenzi wako halafu kuendelea kumuona bado amenona
 
Mayele nillimshusha vyeo. Ana ujinga mwingi.
Nitashangaa Simba tukimchukua aina ile ya mtu. Hafai. Edo yuko sahihi
 
Licha ya yooote, tuseme tu ukwel, Yanga hii ya Gamond ingekua na Mayele, habar ingekua nyingine. Yan imagine ile game ya Sundowns zote 2 tungekua na Mayele??
Final ingekua hii hapa

Kiukwel mayele anatamn kuitwa tena Yanga ila ndio hivyo tena, jangwan walisha move on
Kama Mayele angekuwepo Yanga, Yanga hii ya sasa. Wala tusingeona akina Azizi Ki, Mudathir na Pacome akiwa wanafunga magoli kwa wingi.

Timu ilikuwa inamtazama yeye ili kupata matokeo, sasa hivi Yanga mtu yeyote yule anaweka mpira wavuni.
 
Ni kweli, ila imagine pale anaposimama mzinze angesimama Mayele
 
Kwa jinsi leseni yangu ya ukocha ilivyokubwa ni aibu kubishana mambo ya mpira na mtu kama wewe unaechanganya champions league na confederation
Aisee we pita pembeni huwa sibishani ujinga.
 
Dogo acha kukaza fuvu wakubwa wakuelekeze.
Una ubishani wa kitoto.
Jamaa alianza kusema kuwa kombe la shirikisho sio kombe la CAF.
👆👆👆👆👆Utata ulianza hapa.
Nikamwambia nani aliyeandaa hilo shindano kama sio CAF!?
Utata wote upo hapo kudai shirikisho sio CAF.
Aya shirikisho ni nini kama sio CAF!?
 
Hii ndio ile mnaachana lakini bado mnapendana.
Yaani kiroho cha kumfatilia x wako anafanya nini yuko wapi etc.
Yanga bila mayele isingeweza achieve mpaka final ya federation. Na mayele bila yanga asingejulikana ulimwenguni.
Sasa bond kama hii ikivunjika lazima kuna kamfuatiliano hivii.
Mara nyingi kanakua ka wivu tu.
 
Kwa jinsi leseni yangu ya ukocha ilivyokubwa ni aibu kubishana mambo ya mpira na mtu kama wewe unaechanganya champions league na confederation
Mkuu ana changanya kivipi wakati kila mashindano yana vigezo ya timu kushiriki, mfano Champion league ni kombe ambalo washiriki wake % 99 ni mabingwa kutoka kwenye ligi za nchi zao.
 
Hii ndio ile mnaachana lakini bado mnapendana.
Yaani kiroho cha kumfatilia x wako anafanya nini yuko wapi etc.
Yanga bila mayele isingeweza achieve mpaka final ya federation. Na mayele bila yanga asingejulikana ulimwenguni.
Sasa bond kama hii ikivunjika lazima kuna kamfuatiliano hivii.
Mara nyingi kanakua ka wivu tu.
Dhahiri hapa Mayele ndie shida.
Alitamani Yanga isifanye vizuri kabisa bila uwepo wake. Upande wa shilingi kwa zile nafasi Mzinze alizopoteza angekua Mayele leo stori ingekua tofauti. Yanga walimuuza Mayele bila kua na mbadala wa uhakika. Walichemka.
 
Licha ya yooote, tuseme tu ukwel, Yanga hii ya Gamond ingekua na Mayele, habar ingekua nyingine. Yan imagine ile game ya Sundowns zote 2 tungekua na Mayele??
Final ingekua hii hapa

Kiukwel mayele anatamn kuitwa tena Yanga ila ndio hivyo tena, jangwan walisha move on
Mayele angekuwa yanga Ile game na Mamelody ingeishia hapa hapa dar tena Chuma si chini ya 3
 
Back
Top Bottom