Kwa jinsi leseni yangu ya ukocha ilivyokubwa ni aibu kubishana mambo ya mpira na mtu kama wewe unaechanganya champions league na confederationFala wewe.
Kweli ni ngumu kushinda mjadala na mtu anayejielewa ila ni karibia na haiwezekani kushinda mjadala na mpumbavu anayejifanya anajua(ambae ni wewe).
Uwe na asubuhi njema.
Kumbe hua huna akili hivi?Yanga haijawahi kufika final ya caf au mpira umeanza kufatilia jana?
Sio chai tatepa hii?Sana... kuna baloz wa Finland aliyemalizaga muda wake akaamua kuoa lishangazi la kizaramo wakanunua nyumba mbezi nakuanza maisha mapya
Hata mimi nakushangaa kumbe na wewe huna akili hivi?Kumbe hua huna akili hivi?
Dogo acha kukaza fuvu wakubwa wakuelekeze.We hujui hata unachojibu ni nini kwa kifupi hujui mpira
Yanga kafika final ya shirikisho ambayo ni kombe la best looserDogo acha kukaza fuvu wakubwa wakuelekeze.
Una ubishani wa kitoto.
Kama Mayele angekuwepo Yanga, Yanga hii ya sasa. Wala tusingeona akina Azizi Ki, Mudathir na Pacome akiwa wanafunga magoli kwa wingi.Licha ya yooote, tuseme tu ukwel, Yanga hii ya Gamond ingekua na Mayele, habar ingekua nyingine. Yan imagine ile game ya Sundowns zote 2 tungekua na Mayele??
Final ingekua hii hapa
Kiukwel mayele anatamn kuitwa tena Yanga ila ndio hivyo tena, jangwan walisha move on
Ni kweli, ila imagine pale anaposimama mzinze angesimama MayeleKama Mayele angekuwepo Yanga, Yanga hii ya sasa. Wala tusingeona akina Azizi Ki, Mudathir na Pacome akiwa wanafunga magoli kwa wingi.
Timu ilikuwa inamtazama yeye ili kupata matokeo, sasa hivi Yanga mtu yeyote yule anaweka mpira wavuni.
Aisee we pita pembeni huwa sibishani ujinga.Kwa jinsi leseni yangu ya ukocha ilivyokubwa ni aibu kubishana mambo ya mpira na mtu kama wewe unaechanganya champions league na confederation
Jamaa alianza kusema kuwa kombe la shirikisho sio kombe la CAF.Dogo acha kukaza fuvu wakubwa wakuelekeze.
Una ubishani wa kitoto.
πππππShirikisho ni kombe la michuano gani kama sio CAF!?Kumbe hua huna akili hivi?
Vizuri kwa kujua unabishana ujinga next time jifunze mpira kwanzaAisee we pita pembeni huwa sibishani ujinga.
Mkuu ana changanya kivipi wakati kila mashindano yana vigezo ya timu kushiriki, mfano Champion league ni kombe ambalo washiriki wake % 99 ni mabingwa kutoka kwenye ligi za nchi zao.Kwa jinsi leseni yangu ya ukocha ilivyokubwa ni aibu kubishana mambo ya mpira na mtu kama wewe unaechanganya champions league na confederation
Dhahiri hapa Mayele ndie shida.Hii ndio ile mnaachana lakini bado mnapendana.
Yaani kiroho cha kumfatilia x wako anafanya nini yuko wapi etc.
Yanga bila mayele isingeweza achieve mpaka final ya federation. Na mayele bila yanga asingejulikana ulimwenguni.
Sasa bond kama hii ikivunjika lazima kuna kamfuatiliano hivii.
Mara nyingi kanakua ka wivu tu.
Kacheza final ya best looser
Mayele angekuwa yanga Ile game na Mamelody ingeishia hapa hapa dar tena Chuma si chini ya 3Licha ya yooote, tuseme tu ukwel, Yanga hii ya Gamond ingekua na Mayele, habar ingekua nyingine. Yan imagine ile game ya Sundowns zote 2 tungekua na Mayele??
Final ingekua hii hapa
Kiukwel mayele anatamn kuitwa tena Yanga ila ndio hivyo tena, jangwan walisha move on
Hakika chief. Yale majanga ya mzinze isingekua vileMayele angekuwa yanga Ile game na Mamelody ingeishia hapa hapa dar tena Chuma si chini ya 3