Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Timu zinatakazo faidika na huo mgao ni Zile tu alizochezea kipindi hajafika miaka 23Mbona senzo Wa simba alisema kuwa simba haina chao kwenye biashara ya Genk Vs Aston villa?Au nae senzo hajui hilo?.
JE,Zlatan kwenda Milan nae timu zote zitapata hiyo 5%kwa timu zote alizopita ikiwepo Barca na Man U?
Hapa naona kama hii sheria hatujaielewa vizuri.Si vizuri kukopi kipande cha sheria moja na kuja kuhitimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app