Edo Kumwembe, hivi unaijua FIFA Solidarity Rule kweli?

Timu zinatakazo faidika na huo mgao ni Zile tu alizochezea kipindi hajafika miaka 23
 
Mimi sijui shule yake, ila mwenyewe kila mara anasema "alisoma na Prof. Jay" nadhani anataka tukariri!

Sent using Jamii Forums mobile app

Anasemaga alisoma n Professor Jay, shule ya Lutengano halafu anasemaga alisoma n Solo Thang na Soggy Doggy Hunter shule ya Jitegemee
Uandishi wa habari alisomea wapi? Sijawahi sikia akisema.....n serikali ishasema kuhusu wanahabari wasiosoma.


Alexander
 
Alisoma lutengano
Alafu mtu wa kwanza kumuingiza kwenye uchsmbuz wa Mpira ni salum Mwalim wakati huo yupo channel 10,eddo alikuwa anakwenda hapo na anachambua akimaliza anadakishwa 50000
Hili watu wengi naona hawalifahamu

Ova
Mimi sijui shule yake, ila mwenyewe kila mara anasema "alisoma na Prof. Jay" nadhani anataka tukariri!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Milimo yiniyo.
 
Kumbe jamaa katoka mbali. Nampa big up kwa uthubutu wake. Leo uchambuzi ndo kazi yake na watoto wanakwenda shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…