Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kocha hawana.Bruno ni player jamaa anafanya kile unachotaka kuona mchezaji anafanya
Ila bado nasema walicho nacho Singida ni scout Bora sio TU kwa wageni hata kwa wazawa jamaa anachukua wachezaji Bora sana halafu bila kelele Wala shida za kisheria kingine ni team manager kajenga nidhamu ya hali ya juu kwenye timu,kwa Sasa ingizo la Kagoma na Nashon aisee ningependa Bruno asiondoke pale acheze champions league
Kocha rafiki mpendwa wa Mwigulu ila anajitahidi maana kwa Tanzania ukiondoa yanga timu zote hazina makochaIla kocha hawana.
Makavelli10 ni Mpenzi wa soka, anaipenda soka, anaijua soka. Hana Muda wa kuongea mapambio hata yasiyo na faida. Anaongea realty. Achana na wafia timu.Ila makaveli10 una ka damu ka Uyanga kwa mbaliii [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sisi wafia timu wacha tuendelee na mambo yetu yaleeeMakavelli10 ni Mpenzi wa soka, anaipenda soka, anaijua soka. Hana Muda wa kuongea mapambio hata yasiyo na faida. Anaongea realty. Achana na wafia timu.
Sote tutapata wachezaji wazuri..maana na sisi tunamchukua fei totoHuyo anakuja Yanga ni swala la Muda.
2030?Sote tutapata wachezaji wazuri..maana na sisi tunamchukua fei toto
Uzuri kwenye mpira kila mchezaji yupo sokoni cha msingi ufuate utaratibu na club yenye mkataba nae so kila mkataba unaweza kuvunjika cha msingi utaratibu ufuatwe na pande mbili zikubaliane tu.Sote tutapata wachezaji wazuri..maana na sisi tunamchukua fei toto
Kwa wachezaji waliopo Singida, walipaswa kufanya zaidi ya hiki tunachokiona.Kocha rafiki mpendwa wa Mwigulu ila anajitahidi maana kwa Tanzania ukiondoa yanga timu zote hazina makocha
Wako nyuma ya Azam Simba na Yanga hata wangekuwa na Pitso au Pep kwa soka letu hawawezi kuwa zaidi ya hapo walipo labda TU watamshusha Azam hapo walipo maana sidhani kama Azam atamfunga Simba wakati wao wanayo nafasi ya kumfunga Ihefu kwenye mechi zijazo na Azam akienda kwa Ihefu atapoteza tena hakuna kitu kocha angefanya zaidi ya anachofanya nadhani yuko vizuriKwa wachezaji waliopo Singida, walipaswa kufanya zaidi ya hiki tunachokiona.
Sasa singida ushirikina wa kazi gani???hawa simba na ngaya ndo wachawi wachawi hawaSasa timu gani hapa Tz haiamini ushirikina ni tajie moja wapo.