Kiukweli Eddo ni mchambuzi bora wa soka kwangu Tanzania nzima...anajua anachokifanya
Hua napenda sana makala zake
Kiukweli Eddo ni mchambuzi bora wa soka kwangu Tanzania nzima...anajua anachokifanya
Hua napenda sana makala zake
Acha alipwe c anafanya kazi.
Hata makala zake napenda kusoma ni mchambuzi anaefahamu nini anachambua
Kuna makala yake moja ya Guardiola eti aliinusuru shingo yake kwa kuikataa ofa ya kuifundisha Chelsea maana Abramovic hua anashika pesa mkono wa kushoto na kulia panga kali..niliipenda sana na nyingine nyingi
Nifah u have impressed me....try me u won't be disappointed
Hahahaaaa
Daaah u r magnetic creature
Daaah u r magnetic creature
inasemekana ya kuwa undisputed tanzania top football analyst Edo kumwembe analipwa milioni sita kwa mwezi kwa kazi ya uchambuzi wa soka ndani ya Azam TV...ikumbukwe kuwa nguli huyo wa kuchambua soka ana mikataba binafsi na Bin Slum Tyrea na TSN group of companies....Edo kumwembe ni mwajiriwa wa Mwananchi Communications Limited
Hapo unamtongoza au?
Hapo unamtongoza au?