Inasemekana ya kuwa undisputed Tanzania top football Analyst Edo Kumwembe analipwa milioni sita kwa mwezi kwa kazi ya uchambuzi wa soka ndani ya Azam TV.
Ikumbukwe kuwa nguli huyo wa kuchambua soka ana mikataba binafsi na Bin Slum Tyrea na TSN group of companies. Edo Kumwembe pia ni mwajiriwa wa Mwananchi Communications Limited.