Edo Kumwembe na neno 'THE WAY'

suggest basi atumie neno gani
q
haters mnashida sana
Kuna tofauti kubwa sana ya kusema fulani ananiboa kwa kutumia neno fulani na mtu ambaye ni hater!
Itendee haki akili yako bhana!
 
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!

Wivu wa kike huo,kwani umelazimishwa kuangalia uchambuzi wake?!mpaka unaangalia unamkubali
 
Watu wengine bwana?Wewe kama nani?Eddo endelea hivyohivyo,tunaokuelewa tunakuelewa.
 
Tanzania ina upungufu pia wachambuzi wa soka.....wengi wanabangaiza tu sana
ndo maana Edo anaonekana very unique...

Bora hata wewe umejibu ki "Great thinker"
Wengine wanapiga kelele tu ili mradi na yeye aonekane kajibu!!
 
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!

THE WAY unavyoonekana utakuwa mkazi wa mbagala THE WAY akili yako ilivyo utakuwa ulikimbia umande THE WAY ulivyomuelewa EDO utakuwa TV unaangalia kwa jirani THE WAY utakavyonijibu ndio THE WAY utakavyoendelea kupata aibu humu JF.
 
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!

Mkuu o lugha aitumiavyo ndo maan unaboreka......ok huwa anamaanisha "jinsi"
 
Leo kaandika Kongo ilitawaliwa na Ufaransa wakati ni ubeligiji.kama ni lugha,ubelgiji hawana lugha yao ,sehemu moja wanaongea kifaransa nyingine kidachi.hizi lugha zote ni rasmi ubelgiji .
 
Leo kaandika Kongo ilitawaliwa na Ufaransa wakati no ubeligiji.kama no lugha,ubelgiji hawana lugha yao ,sehemu moja wanaongea kifaransa nyingine kidachi.hizi lugha zote ni rasmi ubelgiji .
We naye hujaeleweka unazungumzia congo ipi?? je kama alimanisha ile congo nyingine, atakuwa hayupo sahihi??
 
Ndio Elimu yake ilipoishia hapo kwenye the way Mkuu halafu eti wachambuzi
 
We naye hujaeleweka unazungumzia congo ipi?? je kama alimanisha ile congo nyingine, atakuwa hayupo sahihi??

wewe nawe umukurupuka alikuwa anaongelea DRC wanakocheza akina samatta na ulimwengu katika time ya TP Mazembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…