EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Msamehe amekoma, sidhani kama atarudia tena.Kwahiyo sisi tufanyeje?
Tafuta malimao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe amekoma, sidhani kama atarudia tena.Kwahiyo sisi tufanyeje?
Tafuta malimao
Amekusikia atajirekebisha mtoto mzuri eeh.
Msamehe amekoma, sidhani kama atarudia tena.
Kuna tofauti kubwa sana ya kusema fulani ananiboa kwa kutumia neno fulani na mtu ambaye ni hater!suggest basi atumie neno gani
q
haters mnashida sana
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
Tanzania ina upungufu pia wachambuzi wa soka.....wengi wanabangaiza tu sana
ndo maana Edo anaonekana very unique...
Kwahiyo sisi tufanyeje?
Tafuta malimao
Na wewe ni Great thinker ?
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
Huyu jamaa mchambuzi wa mpira wa miguu wa Azam Edo Kumwembe analitumia sana hili neno, kila sentence, THE WAY, THE WAY!
Ananiboa sana!
We naye hujaeleweka unazungumzia congo ipi?? je kama alimanisha ile congo nyingine, atakuwa hayupo sahihi??Leo kaandika Kongo ilitawaliwa na Ufaransa wakati no ubeligiji.kama no lugha,ubelgiji hawana lugha yao ,sehemu moja wanaongea kifaransa nyingine kidachi.hizi lugha zote ni rasmi ubelgiji .
We naye hujaeleweka unazungumzia congo ipi?? je kama alimanisha ile congo nyingine, atakuwa hayupo sahihi??
We naye hujaeleweka unazungumzia congo ipi?? je kama alimanisha ile congo nyingine, atakuwa hayupo sahihi??