EDO KUMWEMBE: Ndoto inayotisha dhidi ya ndoto inayosikitisha Simba, Yanga

Nilicheka Edo siku moja aliandika Mwanaspoti eti kuiangalia Barcelona ikicheza ni sawa na kumchungulia Beyonce au Shakira akioga. Edo bana.....
 
Muda utamaliza ubishi
 
Horoya ni ya Africa ya kaskazini kijana?

Eddo bado yupo sahihi Simba kashindwa kufunga magoli mengi nyumbani sasa anaenda Casablanca kupumulia gesi ya moto.
 
Wachambuzi uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…