Edo Kumwembe ni nani?

Edo Kumwembe ni nani?

mamwa

Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
46
Reaction score
12
Naomba tu kumfahamu huyu jamaa ni nani katika siasa maana nimeona groups mbali mbali whatsup wakinakili alichokipost.

Simfahamu, nataka kumfahamu ni nani?
 
Mwandishi wa habar..mwenye influence kwa baadh ya watu hasa wapenda soka..anaweza andka chchte kwa mawazo yke ili kisomwe na weng waliolike page zake..

ok kumbe, asante mkuu
 
Edo, ni miongoni mwa wanahabari wachache wanaofikiri wenyewe na Edo ananikumbusha mwandishi wa habari mmoja Tanzania,ambaye ameshafariki akiitwa Adam Lusekelo na ile column yake ya 'soft touch', style ya Edo kupost kwenye mitandao ya kijamii maneno machache yenye tafakuri pana ni vitu vizuri katika ubunifu wa kupashana habari, anastahiki kupongezwa sana.
 
Wakikaa Oct utamjua to ninanii kajiandikishen basi
 
ni kijana toka tunduru alisoma jitegemee ni mwandishi mzuri Wa makala za soka na za kisiasa,ana kipaji cha halo ya juu sana na ameajiriwa na mwananchi anaandikia zaid mwanaspoti.na ni asiyekumbuka makala yake ya Nani anajaliii?
 
Kati ya wachambuzi.wa soka ninaowakubali ni pamoja na yeye. Siasa za tz, anazijua sana , hana maneno mengi...
 
Eddo kumwembe....jamaa yupo vizuri sana kwenye uandishi...Iwe siasa au michezo...Jicho la Mwewe,,Hisia zangu na Nyuma ya Pazia....hizi ndizo makala zake kwenye Mwana Sport.
 
Baada ya kupewa haya maelezo yote ya Edo, sasa na wewe umfuate huko wanakoita sijui twita sijui facebuku.

Naamini hutokwazika na posti zake, kila wakati zinakuwa "neutral" na zina namna ya kumuelezea mtoaji kuwa anafikiria.
 
Wakati fulani nilikuwa nanunua Mwanaspoti kusoma "Nyuma ya Pazia" baada ya hapo basi tena.
 
Ni muyao wa Tunduru anaefikiri zaidi ya unavyofikiri.
 
Back
Top Bottom