Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Wakati fulani nilikuwa nanunua Mwanaspoti kusoma "Nyuma ya Pazia" baada ya hapo basi tena.
Wewe ulikua kama Mimi tu.
Nanunua kusoma hiyo kolamu then gazeti nawaachia wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati fulani nilikuwa nanunua Mwanaspoti kusoma "Nyuma ya Pazia" baada ya hapo basi tena.
Wakikaa Oct utamjua to ninanii kajiandikishen basi
Naomba tu kumfahamu huyu jamaa ni nani katika siasa maana nimeona groups mbali mbali whatsup wakinakili alichokipost.
Simfahamu, nataka kumfahamu ni nani?
Yupo vizuri lakini wakati mwingine uchambuzi wake hugubikwa na unazi kwa timu yake.
Ana kadi ya wamatopeni na siku za mechi hupendelea kukaa huko!Ni tim gani huyu jamaa?