Edo, ni miongoni mwa wanahabari wachache wanaofikiri wenyewe na Edo ananikumbusha mwandishi wa habari mmoja Tanzania,ambaye ameshafariki akiitwa Adam Lusekelo na ile column yake ya 'soft touch', style ya Edo kupost kwenye mitandao ya kijamii maneno machache yenye tafakuri pana ni vitu vizuri katika ubunifu wa kupashana habari, anastahiki kupongezwa sana.