Edo Kumwembe ni nani?

Kapost FB.

Edo kumwembe is now friend with Francis cheka and Job Ndugai.
 
Edo ni kifaa,binafsi huyu jamaa namkubali sana kwenye ulingo hasa wa kispoti.Kwa ujumla ni mweledi kwa kile anachokiandika katika makala zake za magazetini lkn hata ukimsikiliza kwenye uchambuzi wa michezo na hasa soka utagundua jamaa habahatishi.
Sina maneno mengi ya kumuelezea jamaa zaidi ya hayo,jamaa anajua.

Bid up brother Edo!
 
Ni Mwanahabari anaetakiwa kuigwa na waandishi vilaza wa Clouds Media
 
Ni mwaandishi na mchambuzi wa habari za michezo hajaingia zamani katika sanaa hiyo ila amewateka vijana wengi hii kulingana na maneno yake teule na udadisi alokua nao na hamu ya kufatilia mambo ya michezo akitoa comments zake katika soka utazipenda na kuzifurahia
 
Naomba tu kumfahamu huyu jamaa ni nani katika siasa maana nimeona groups mbali mbali whatsup wakinakili alichokipost.

Simfahamu, nataka kumfahamu ni nani?

Jamaa geneos sana baada ya magufuli kuapisha mawazili wake aliandika hivi katika utawala wa magufuli miezi 6 kuna wazili atatumbuliwa
 
"....Ishakuwa soo mtaani kashfa kibao, Ngwea nshaamua sasa Milupo no, nahitaji honey, mwandani, aendane Nami"......dah hatari sana hii kitu inaitwa WIFE...Albert Mangwea na DAZ BABA.... Ipo siku muziki wetu utarudi. Rest in peace Albert.
 
Jamaa ana weledi wa hali ya juu katika kuchambua masuala mbalimbali ya kijamii na kimichezo anastahili kupewa cheo flani pale TFF naona tungepiga hatua tisa mbele
 
Yupo vizuri lakini wakati mwingine uchambuzi wake hugubikwa na unazi kwa timu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…