Edo kumwembe: Sakho akiitwa timu ya taifa ya Senegal naacha kazi

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
FB_IMG_16791326976641421.jpg
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa

Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo.

Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal.

Je, unamshauri Nini Edo Kumwembe?

Pia soma:
- Pape Sakho aitwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal
 
View attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa

Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo

Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal l!!

Je unamshauri Nini Edo Kumwembe??
Ashauriwe kuongea kwa staha muda wote.Asitumie mabega kufikiri mambo makubwa.
 
View attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa

Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo

Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal l!!

Je unamshauri Nini Edo Kumwembe??
Edo lile bichwa limejaa makamasi tu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nadhani mtoa Post umekurupuka

Edo kumwembe aliongea kipindi kile & siyo saizi

Imawezekana kauli ya Edo kumwembe ndiyo iliyompa morali huyu sacko
 
Watu wanaopenda kujiapiza apiza na kuweka nadhiri wana matatizo ya kisaikolojia. Na likibumburuka huwa hawatimizi nadhiri zao....japo huwa haziendi bure!

Kumwembe atimize ahadi yake!
tapatalk_1572459246375.jpeg
 
Nadhani mtoa Post umekurupuka

Edo kumwembe aliongea kipindi kile & siyo saizi

Imawezekana kauli ya Edo kumwembe ndiyo iliyompa morali huyu sacko
Kamuambie Eddo wako aache kazi mara 1, na aache ubashaa, soon watamgeuza yeye.
 
wale ni watu wanaokusanya taarifa na kutuletea kitu ambacho hata wewe unaweza.

hawana uchambuzi wowote wanaenda na upepo tuu.
Ni kweli ukisikiliza uchambuzi wao hata wewe unaweza, akiulizwa umeonaje mchezo jibu lake Oooh Azam FC hawakuwa na mchezo nzuri leo, halafu Refa anakataa bao halali la Namungo.[emoji1787]
 
View attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa

Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo

Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal l!!

Je unamshauri Nini Edo Kumwembe??
Hakuna cha kumshauri, aache tu kazi.
 
Ni kweli ukisikiliza uchambuzi wao hata wewe unaweza, akiulizwa umeonaje mchezo jibu lake Oooh Azam FC hawakuwa na mchezo nzuri leo, halafu Refa anakataa bao halali la Namungo.[emoji1787]
😅😅😅niwahuni wanaamua kuvaasuti nakuingia studio.
 
Sakho bado kinda kwahyo elasticity yake ya kucheza timu ya taifa ni kubwa kuliko wengine,kocha anaweza kuangalia vitu vingi
 
Back
Top Bottom