Mohammed wa 5
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 1,215
- 3,035
Namshauri atimize ahadi yakeView attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa...
Ashauriwe kuongea kwa staha muda wote.Asitumie mabega kufikiri mambo makubwa.View attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa
Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo
Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal l!!
Je unamshauri Nini Edo Kumwembe??
Edo lile bichwa limejaa makamasi tuView attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa
Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo
Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal l!!
Je unamshauri Nini Edo Kumwembe??
Kamuambie Eddo wako aache kazi mara 1, na aache ubashaa, soon watamgeuza yeye.Nadhani mtoa Post umekurupuka
Edo kumwembe aliongea kipindi kile & siyo saizi
Imawezekana kauli ya Edo kumwembe ndiyo iliyompa morali huyu sacko
Ni kweli ukisikiliza uchambuzi wao hata wewe unaweza, akiulizwa umeonaje mchezo jibu lake Oooh Azam FC hawakuwa na mchezo nzuri leo, halafu Refa anakataa bao halali la Namungo.[emoji1787]wale ni watu wanaokusanya taarifa na kutuletea kitu ambacho hata wewe unaweza.
hawana uchambuzi wowote wanaenda na upepo tuu.
Hakuna cha kumshauri, aache tu kazi.View attachment 2556329
Mchambuzi Nguli wa Michezo Edo Kumwembe aliahidi Kuacha Kazi Wasafifm Ikitokea Mchezaji Pape Ousman Sakho ataitwa Timu ya Taifa
Edo alisema Senegal imesheheni wachezaji Wengi na Bora wanaocheza Vilabu vikubwa Barani Ulaya zaidi ya Sakho hivyo ni ngumu wachezaji wanaocheza Ligi za Afrika kuitwa Katika Timu hiyo
Jana Mchezaji wa Klabu ya Simba Pape Ousman Sakho ameweka Historia Kuwa Mchezaji Pekee anayecheza Ligi za Afrika kuitwa Timu ya Taifa ya Senegal l!!
Je unamshauri Nini Edo Kumwembe??
😅😅😅niwahuni wanaamua kuvaasuti nakuingia studio.Ni kweli ukisikiliza uchambuzi wao hata wewe unaweza, akiulizwa umeonaje mchezo jibu lake Oooh Azam FC hawakuwa na mchezo nzuri leo, halafu Refa anakataa bao halali la Namungo.[emoji1787]
Dah!! Alikubashua Nini??Kamuambie Eddo wako aache kazi mara 1, na aache ubashaa, soon watamgeuza yeye.
Alikubashua wee.Dah!! Alikubashua Nini??