Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Tanzania ingekua na mawakala wazuri.hao wote ni wakuuzaPale Simba wakuachwa ni wengi tu ,anzia Medi,Mugalu,Nyoni ,Muzamiru,yule Babu Onyango
,Boko.
Simba watulie ili walete ingizo jipya lenye tija kwa timu.
Leo hii anaonekana hakuwa na kiwango cha kuichezea SimbaUko sahihi Mkuu, alipewa mpaka aka Magician left footer
Utoh kwa akili ndogo hamjambo.. kwani kiwango cha mchezaji kinabaki palepale kwa muda wote.. hujui kuna wakati kinapanda au kushuka?Wabongo aisee kwa kubadilika kama vinyonga. Huyu kuna kipindi aliimbwa sana kuwa bonge la fundi hata chama hamfikii. Na jina mkamtungia kuwa mzee wa soft tachi. Leo hii mnamuona kihande
Pitia post za humu utaona ni jinsi gani wanaongea utafikiri kwanzia asajiliwe hakuwahi kufanya lolote na kusifiwa. Aliyeandika post namba 12 ni utoh? Kiwango kushuka na kupanda kwa mchezaji ni swala la kawaida sana. Na huwa kiwango kikishuka mtu anasema fulani kwasasa hstufai kiwango kimeshuka.Utoh kwa akili ndogo hamjambo.. kwani kiwango cha mchezaji kinabaki palepale kwa muda wote.. hujui kuna wakati kinapanda au kushuka?
Mie nashauri simba wakusajili wewe badala ya bwalyaEDO: SIMBA WANAWEZA KUACHANA NA BWALYA
Rally Bwalya? Huu ni mtihani.
Kipaji kipo kwa Bwalya lakini hajawahi kuikamata Simba kama inavyotakiwa. Hata walipoondoka Luis Miquissone na Clatous Chotta Chama watu wengi walitazamia Bwalya avae viatu vyao lakini hakuvaa kama inavyotakiwa.
Bwalya anacheza soka laini, hana kasi, hana uamuzi wa haraka lakini pia ameshindwa kufunga mabao mengi au kutoa pasi nyingi za mwisho kama ilivyokuwa inadhaniwa.
Simba inapotawala mechi basi na Bwalya anakuwa miongoni mwa mastaa. Inapokuwa na mechi ngumu basi na Bwalya anapotea. .
Kwa mtazamo wangu Simba ikipata kiungo mwingine mzuri zaidi katika eneo la ushambuliaji basi wanaweza kuachana na Bwalya. Kama atahitaji pesa nyingi kwa ajili ya kusaini mkataba mwingine wa miaka miwili nadhani wanaweza kutulia kwanza na kutazama jicho lao kwingine.
Hauwezi kulaumiwa na mashabiki kwa kuachana na Bwalya.” - Edo Kumwembe.
#KanunguJR
Kweli kbs jamaa akiwa na mpira ni rahisi kuchoma nyumbaHamna kitu pale mdhamiru....
Anacheza holding za kizamani .... Timu ikiwa inafanya buildup ya Attacking anakua ziro kabisa...
Pass accuracy 40%
Maamuzi 45℅
Anakaba vizuri .... Lakini akikamata mali ndo ohooo !!! Unapomkataa
Sent from my FTE171A using JamiiForums mobile app
Ndio unafiki wa Mashabiki wa Simba msimu huuWabongo aisee kwa kubadilika kama vinyonga. Huyu kuna kipindi aliimbwa sana kuwa bonge la fundi hata chama hamfikii. Na jina mkamtungia kuwa mzee wa soft tachi. Leo hii mnamuona kihande
Nitajie ambaye kiwango kimepanda msimu huuRally bwalya kiukweli kiwango kimeshuka sana hata kagere naye kiwango kimeshuka
Yani unataka akiwa kwenye form asifiwe na akipoteana aendelee kusifiwa. Huoni kama huo ni ukondoo?Wabongo aisee kwa kubadilika kama vinyonga. Huyu kuna kipindi aliimbwa sana kuwa bonge la fundi hata chama hamfikii. Na jina mkamtungia kuwa mzee wa soft tachi. Leo hii mnamuona kihande
Hivi ni sahihi kwa shabiki kutoa kauli kama hii kwa mchezaji aliyekuwa kwenye form kisha akashuka kiwango.Yani unataka akiwa kwenye form asifiwe na akipoteana aendelee kusifiwa. Huoni kama huo ni ukondoo?
Timu ambayo wachezaji wake wanarukaruka tu uwanjani Hadi sasa wanakiwasha kimataifa. Timu ambayo wachezaji wake wanacheza vizuri waligusa kimataifa wakabinuliwa nyuma mbele na Rivers na sasa wanacheza mechi za kimataifa na somalia na mafunzoWachezaji karibia wote wa hiyo timu wanaruka ruka tu uwanjani kama wanacheza kisingeli au amapiano