ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,412
- 3,043
Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa!
Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa ni ujinga"
Neno "Wanyonge" lilikuwa ni miongoni mwa misamiati maarufu katika awamu ya tano na kujichukulia umaarufu mkubwa!!
My take:
Namuunga mkono Edo, kuitwa mnyonge na kuukubali Unyonge ni upuuzi.