Kumwembe yupo sahihi sana!! Eti wakati wa magu umasikini ulikua ni sifa!?? "Mimi Rsis wa masikini!!!" Umasikini ni laana!!!!Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa!
Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa ni ujinga"
Neno "Wanyonge" lilikuwa ni miongoni mwa misamiati maarufu katika awamu ya tano na kujichukulia umaarufu mkubwa!!
My take:
Namuunga mkono Edo, kuitwa mnyonge na kuukubali Unyonge ni upuuzi.
View attachment 1953521
Mkuu christiania Denmark 'Freetown' leo inatimiza miaka hamsini. Yani hapa nimeshapuliza kitu cha Arusha i feel aireeeehni full bata maamae. Nawashangaa tu wanyonge huko homu.Kwani mlikuwa hamjui hilo!mpaka edo ndiyo awambie
Ova
Maandiko matakatifu yanasisitiza kuwajali wanyonge. Edo atakuwa anafikiria uteuzi.Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa!
Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa ni ujinga"
Neno "Wanyonge" lilikuwa ni miongoni mwa misamiati maarufu katika awamu ya tano na kujichukulia umaarufu mkubwa!!
My take:
Namuunga mkono Edo, kuitwa mnyonge na kuukubali Unyonge ni upuuzi.
View attachment 1953521
Unajitapa kuwajali wanyonge hapo hapo unawaibia rambirambi na kuwatukana, unawaibia matrilion yao hazina na kujenga international Airport porini.Maandiko matakatifu yanasisitiza kuwajali wanyonge. Edo atakuwa anafikiria uteuzi.
Iko hivi hata akatae kuitwa mnyonge kama ni mnyonge haibadirishi kitu wewe ni mnyonge tu sababu unyonge ni hali ambayo ni halisi na ipo na wanyonge wapo.Mchambuzi wa michezo wa kituo cha Wasafi Fm, Edo Kumwembe amejikuta akimjibu Mtangazaji mwenzake Zembwela kuwa Unyonge ni ujinga na sio sifa!
Hiyo ni baada ya Zembwela kupost picha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya 5, hayati JPM kuwa "Wanyonge tutakukumbuka" ndipo Edi alipomjibu "Unyonge sio sifa ni ujinga"
Neno "Wanyonge" lilikuwa ni miongoni mwa misamiati maarufu katika awamu ya tano na kujichukulia umaarufu mkubwa!!
My take:
Namuunga mkono Edo, kuitwa mnyonge na kuukubali Unyonge ni upuuzi.
View attachment 1953521
Ndiyo! Si vyema kabisa kukubali jina linalokudhalilisha na kuchekelea....Ukiwa maskini unatakiwa kupambana na kutoka mahali hapokukubali kuitwa mnyonge ni kukubali kutawaliwa na sio kuongozwa
kinyonge hakitaingia mbinguniMaandiko matakatifu yanasisitiza kuwajali wanyonge. Edo atakuwa anafikiria uteuzi.
Mkuu shule ulienda kujifunza alphabet au kukua?KUMWEMBE ASANTE SANA,,SASA MACHINGWA WAKIKUBALI KUAHMISHWA WATAKUWA NI VILZA NA WANYONGE,, NATALAJIA WATAKATAA KUWA WAJONGE MBELE YA MAMLAKA ZA KIERIKALI....INGAWA KWENYE TOZO WAOTE WATANZANIA WALIONYESHA UNYONGE WAKUONYESHA HAWAWEZI TOZO KWANI WAO NI MAFUKALA
Achana nao hao cndio wamejazwa ujinga kwa kukaririshwa kuwa wao ni wanyonge tena maskini eti wana na raic wao wenyewe walituambia wajinga ndio waliwao%%%%%$Kwani mlikuwa hamjui hilo!mpaka edo ndiyo awambie
Ova
Kwann uwe mnyonge kiuchumi!?/una afya ,una akili,una ardhi inayoweza kufuga ,kulima na nk!! Umekaa unajiita mnyonge!!! Pambana mzeeIko hivi hata akatae kuitwa mnyonge kama ni mnyonge haibadirishi kitu wewe ni mnyonge tu sababu unyonge ni hali ambayo ni halisi na ipo na wanyonge wapo.
Hii kauli walishaisema wengi wakiwa kwenye ukwasi. Ukipukutika ndio utajua yote ni maisha tu.Kwann uwe mnyonge kiuchumi!?/una afya ,una akili,una ardhi inayoweza kufuga ,kulima na nk!! Umekaa unajiita mnyonge!!! Pambana mzee