Edouard Mendy aweka record hii ya kushangaza

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Goalkeeper Bora wa mwaka wa Uefa wa msimu uliopita anayechezea timu ya Chelsea Edouard Mendy na raia wa Senegal ameweka record hii tangu ajiunge na Mabingwa hao wa Ulaya

61 Mechi alizocheza
37 clean sheets alizopata (kwenye hizo mechi alizocheza)
34 magoal aliyoruhusu (kwenye hizo mechi alizocheza )

Katika hayo magoal aliyoruhusu hakuna hata goal 1 alilofungwa kwenye nje ya box

Mafanikio

✓ Kipa Bora wa mwaka wa Uefa.

✓ Ameshinda Uefa champions league

✓ Ameshinda Uefa Super league
 
Sasa kinachoshangaza hapo ni kipi?

Au tafsiri ya 'kushangaza' imebadilika?
 
Goalkeeper Bora wa mwaka wa Uefa wa msimu uliopita anayechezea timu ya Chelsea Edouard Mendy na raia wa Senegal ameweka record hii tangu ajiunge na Mabingwa hao wa Ulaya

61 Mechi alizocheza
37 clean sheets alizopata (kwenye hizo mechi alizocheza)
34 magoal aliyoruhusu (kwenye hizo mechi alizocheza )

Katika hayo magoal aliyoruhusu hakuna hata goal 1 alilofungwa kwenye nje ya box

Mafanikio

✓ Kipa Bora wa mwaka wa Uefa.

✓ Ameshinda Uefa champions league

✓ Ameshinda Uefa Super league
Aishi Manula ameridhika na hapo alipo
 
Back
Top Bottom